Waziri wa Vijana alitoa kauli katika kikao cha " Uwezeshaji wa Vijana na nafasi zijao" nchini UAE
- 2022-12-09 20:34:58
Jumanne, Dkt.Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, Mkuu wa ofisi ya kiutendaji kwa Baraza la Mawaziri wa Vijana na Michezo wa Kiarabu alishiriki katika kikao cha " Uwezeshaji wa Vijana na nafasi zijao" zikiwemo shughuli za kuwaheshimu washindi wa tuzo ya Mohammed Bin Rashid Al Maktom kwa maarifa,unaoandaliwa mjini Dubai , nchini UAE, pamoja na Ufadhili wa
Mheshimiwa Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, Naibu Rais wa Nchi ya UAE, Mkuu wa Bodi la mawaziri,Mtawala wa Dubai.
Kikundi la wadau walihudhuria kikao hicho wakiwemo Waheshimiwa , mawaziri wa Vijana na michezo wa kiarabu ,vijana ambao wana mipango na michango ya ufanisi,Viongozi wa maarifa,wasomi wakubwa , wataalamu na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa yanayohusika na maarifa.
Waziri wa Vijana na Michezo alisisitiza kubainisha maoni na sira ya baraza la mawaziri wa Vijana na michezo wa kiarabu kuhusu kuboresha mipango na miradi ya pamoja ya kiarabu kupitia kutathmini shughuli zilizopo na kutangaza mipango mipya mara kwa mara,na pia alisisitiza katika mazungumzo yake kuonesha jaribo la kimisri kwa upande wa uwezeshaji wa Vijana na kukuza uzito wa ujuzi wao, mtazamo wa taifa la Misri kukuza uhusiano pamoja na nchi ndugu na rafiki kupitia maelekeo ya uongozi wa kisiasa.
Waziri huyo alfafanua tathmini yake kwa watu watekelezaji wa shughuli za kuwaheshimu washindi wa tuzo ya Mohammed Bin Rashid Al Maktoum kwa maarifa nchini UAE, akisifu wazo na duru ya ushindani huo kwa kuheshimu wenye mipango ya kujenga Vijana ndani ya jamii ama ndani au nji ya UAE (Emirates); akisisitizia uangalifu wa utamaduni na sanii na nyanja mbalimbali kwa upande wa UAE na kutia moyo kwa Vijana kuonesha talanta zao.
Dkt. Ashraf Sobhy, aliashiria kikundi cha mipango ambayo wizara ya Vijana na michezo ya Misri inatekelezwa, kuangalifu na kugundua talanta katika nyanja za kisanaa,kitamaduni na michezo,na kukuza vipaji na talant ya Vijana na kupatikana misaada yote na kumajibu maombi na mahitaji yao , aliashiria kwamba Misri na waarabu wana vipaji vingi katika nyanja mbalimbali, taasisi zinahusika Vijana na michezo zinajaribu kuangalifu talent hizo.
Shughuli za kuheshimu washindi zinajumuisha baadhi ya warsha za maarifa na Shughuli zinajadiliwa njia kadhaa kama kutoa msaada na uwekezaji kuwezesha Vijana,na kuchunguza kazi za zijao katika mabadiliko ya kimataifa na athari za vyombo vya habari vya kisasa na mawasiliano ya kila aina kwa Vijana na changamoto za elimu na uwekezaji, ubunifu na athari zake kwa vijana na walemavu na jukumu lao mnamo siku zijao.
Comments