Utamaduni wa Michezo washerhekea kwa lugha ya kiarabu na unatangaza washindi wa tuzo ya kila mwaka



Saa nne kesho asubuhi, Alhamisi Umoja wa Misri kwa Utamaduni wa Michezo uliandaa  maadhimisho yake ya  kila mwaka ya Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Kiarabu katika kituo cha  Vijana cha AlGezera, pamoja na Usimamizi wa  Dkt. Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo wa kiarabu ,na mwenyekiti wa Ofisi ya kiutendaji kwa baraza la mawaziri wa Vijana wa kiarabu na michezo pamoja na Fesal Gasaal ,Mkurugenzi wa Idara ya Michezo, katika Chuo Kikuu cha nchi za kiarabu na kanali Ahmed Nasser, mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Michezo ya kiarabu , Dkt. Emad El Banabi ,naibu wa Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya ushirikiano wa kikanda na Dkt. Amr El Hadad , msaidizi wa Waziri wa Vijana na michezo ,Dkt. Sonia Donia ,Mwakilishi wa Wizara kwa maendeleo ya michezo , Mahmoud Abd El Aziz ,Meneja Mkuu wa Vyama vya Ubora , na katika maadhimisho hayo , Dokta Hafedh Shams El Deen,mjumbe wa Chuo cha Lugha ya Kiarabu,akitoa manano yake, na baada ya maadhimisho hayo, mkutano wa waandishi wa habari huja kutangazaa washindi wa tuzo ya umija wa kiarabu kuhusu utamaduni wa michezo katika toleo lake la nne ,kuwajibika kwa kutangaza washindi, msanii mkubwa Sameh El Sereti, Mkuu wa baraza la Wadhamini wa tuzo  na kuhudhuria Mwandishi wa habari, Ashraf Mahmoud,Rais wa Muungano , Mohammed Esmail kutoka Bahrain,na Hassan masoud wa Jordan na wajumbe wa tume ya utendaji kwa Shirikisho na Mwandishi wa habari,Ayman Badra ,Katibu Mkuu wa Shirikisho.

Comments