Wizara ya Vijana na Michezo yaweka nembo ya "Twaweza kwa njia tofauti" Kwenye mnara wa Kairo kuandaa sherehe


Wizara ya Vijana na Michezo imetangazia  kunuru mnara wa Kairo kwa nembo ya "Twaweza  kwa njia tofauti"

Na hiyo kwa kipindi cha juma kamili, kuandalia sherehe ya toleo la nne la mpango iliyoandaliwa na Wizara, mnamo Desemba hii, hivyo kupitia kuunga mkono juhudi za nchi ili kuwawezesha na  kuwajumuisha watu wenye ulemavu katika nyanja mbalimbali za kimaisha na kuwahamasisha ubunifu na uvumbuzi katika nyanja mbalimbali kuimarisha majukumu yao katika jamii.


Dkt.Ashraf Sobhy: "Sherehe ya  Twaweza kwa njia tofauti tangu kulizindua toleo la kwanza inapawa uangalifu,kuitunzwa na kuheshimiwa na Mheshimu wa Rais Abd El-Fatah El Sisi,linaloashiria kujitahidi kufikia matarajio na mahitaji yao,pia linaonesha kupewa mwangalifu wa kuwashiriki katika kila sherehe daima kila mwaka, pia kuzizundua programu tofauti na miradi yatekelezayo haswa kwao."


Waziri wa Vijana na Michezo alidokeza kuwa uungaji mkono mkubwa unaotolezwa na Wizara kwa watu wenye ulemavu kupitia shughuli na miradi yanayotekelezwa haswa kwao mnamo mwaka katika mikoa yote ya Jamhuri, akiashiria uongozi wa kisiasa wakati wa Rais Abd El-Fatah El Sisi  unaliweka kundi hili juu ya kipaumbele na kulipatwa uangalizi na sehemu ya nchi Misri kwa kutaratibu na mamlaka zanazohusika.


Nembo mpya ya mpango wa "Twaweza kwa njia tofauti" kwa alama mbili za maandishi, ya kwanza inaashiria watu wenye ulemavu na rangi yake ni samawati inaonesha ulemavu wa akili, rangi ya kijani inaonesha ulemavu wa hisia,rangi ya nyekundu inaonesha ulemavu wa kutembea Na rangi ya kijivu inaonesha mtu wa kawaida au ana afya nzima anayewasaidia watu wenye ulemavu wa mpango huo, kwa povu la pili linaonesha juhudi za nchi ili kuzindua mpango wa Twaweza kwa njia tofauti ili kuwajumuisha na kuwawezisha watu wenye ulemavu katika nyanja mbalimbali.

Comments