Waziri wa Vijana na Michezo atafutia Mapokezi ya Misri kwa mashindano ya kiwango cha Dunia cha Mieleka Februari ijayo


Jumatano, Dkt.Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo alikutana na Jenerali ,Essam Nauar , mwenyekiti wa Shirikisho la Mieleke Kwenye ofisi yake ndani ya Wizara, ili kutafuta maandalizi ya Misri kama mwenyeji wa mashindano ya kiwango cha dunia cha Mieleka kupitia kipindi cha 23_26 Februari ijayo Katika ukumbi uliofunikwa huko Burj Al Arab,mjini mwa Alexanderia.


Mashindano yameandaliwa kwa uangalifu wa Shirikisho la Kimataifa la Mieleka,Kwa ushiriki wa wachezaji 400 ,Vifaa vya kiufundi na wasimamizi kutoka nchi 25 ,mashindano yanatofautiana Mieleka ya Kirumi , Mieleka ya huru na Mieleka ya wanawake .Mashindano hayo ni moja ya mashindano 4 kwa kiwango cha dunia ambacho kinaandaliwa kila mwaka Duniani kote .


Waziri ameangalia yote yanayohusu maendeleo yote ya kupokea Misri kwa mashindano na

migawanyiko ya kamati ndogo miongoni mwa kamati iliandaliwa mashindano na ambayo ilihusiana hoteli za malazi ,maeneo ya mafunzo,ukumbi ,Mikataba, sherehe,masoko na watu wa kujitolea.


Dkt. Ashraf Sobhy, alielekeza kuratibu mara kwa mara kati ya Wizara na kamati kuu ya maandalizi na kamati iliyoandaa mashindano pamoja na  maafisa wa Shirikisho la Mieleke ya  Kimataifa kupatikana mahitaji yote yanayohitajika, fanya kazi bidii kuandaa mashindano kwa njia bora na kuhakikisha mafanikio kwa ajili yake kwenye mashindano mbalimbali ambayo yanaandaliwa nchini Misri. 


Na pia alisisitiza kwamba Kuandaa mashindano ya kiwango cha Dunia cha Mieleka kunatokana na imani ya maafisa wa Shirikisho la kimataifa katika uwezo wa Misri na vipengele vyake ambavyo vinaonekana wakati Misri ilipoandaa mashindano mbalimbali ya kimataifaa  katika michezo mbalimbali mnamo kipindi kilichopita.


Pia waziri huyo aliashiria umuhimu wa kuandaa vizuri  kwa wachezaji wanaume na wachezaji wanawake wa timu ya taifa ya Mieleka kushiriki katika mashindano hayo kuhakikisha matokeo mazuri ili kukamilisha picha kwa mafanikio ya mashindano kiufundi na kiuratibu.


 Mkutano huo ulihudhuriwa na Shirikisho la Mieleka kama Jenerali Mohammed Mahmoud,naibu mkuu wa Shirikisho ,Dkt. Nabil El Shirbagy,mweka hazina , Dkt. Mahmoud ElSaid katibu mkuu ,kanali Ibrahim Adel Mostafa, Ashraf Hafez, Ahmed Rashid wao ni wajumbe wa baraza la wakurugenzi

Kutoka Wizara ya Vijana na Michezo Dkt.Adel Radwan mwenyekiti wa sekta ya mchezo,Dkt. Mohammed El kordy, mwenyekiti wa Utawala Mkuu wa Utendaji wa Michezo na Mohy Maaruf, mwenyekiti wa Utawala Mkuu wa ufadhili na uwekezaji

Dkt. Abd El Awl Mohammed na Dokta Ahmed Gomaa wasaidizi wa Waziri, Said Hab Alla ,Mkurugenzi Mkuu wa Saikolojia ya Michezo,Ahmed Hamdy, Meneja Mkuu wa Utawala Mkuu wa Timu za Taifa na Mohammed El Gazaar ,Meneja wa Fedha.

Comments