Mnamo matukio ya siku ya kumi na moja "Baraza kuu kwa utamaduni" linapokea wana wa "Nasser kwa Uongozi wa kiafrika " kwa mahudhurio ya Meneja wa programu ya kiafrika katika kituo cha ElAhram kwa masomo ya kisiasa na kimikakati.

Baraza kuu kwa utamaduni linapokea vijana waafrika washiriki katika Udhamini wa "Nasser kwa Uongozi wa kiafrika " uliotolewa kwa Wizara ya vijana na michezo (Ofisi ya vijana waafrika, na Idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia)  chini ya uangalifu wa Dokta Mustafa Madbuly "Waziri mkuu" mnamo kipindi cha 8 hadi 22 Juni 2019, kwa kushirikiana na Shirikisho la vijana waafrika. 


Vijana waafrika walikutana na Dokta Hesham Azmy "Katibu mkuu kwa Baraza kuu kwa utamaduni " na Dokta Amany Eltaweel "Meneja wa programu ya kiafrika katika kituo cha ElAhram kwa masomo ya kisiasa na kimikakati " na hayo hutokea miongoni mwa matukio ya siku ha kumi na moja toka Udhamini wa "Nasser kwa Uongozi wa kiafrika " 


Dokta Amany Eltaweel aliusifu mchango wa Ofisi ya kiafrika kwenye Wizara ya vijana na michezo kwa Uongozi wa Dokta Ashraf Sobhy,  na juhudi zake katika kuimarisha mawasiliano kati ya vijana wa nchi za bara la kiafrika, kwa ajili ya kubadilishana  Tamaduni, uzoefu, na mitazamo kati ya vijana waafrika kuhusu masuala na maudhui zinazohusu nchi zao za kiafrika, akisisitiza kwamba bara la kiafrika linazingatia taasisi moja kubwa kamlili na khasa wana wake walipamabana telephone kwa ajili ya kuunda taasisi kamili moja kwa bara la kiafrika. 


Na Eltaweel alifafanua dhana ya mawazo ya kiafrika yanayokabili Ukoloni na Utumwa barani Afrika toka Ughaibuni, akielezea kwamba mawazo haya yalijumuisha katika mikutano mitano kati ya London, na Paris toka waafrika  nje, na yote yalisisitiza juu ya dharura ya kujuana nchi za kiafrika pamoja, na inazingatia kama  jukwaa ambalo makada wa Ukombozi wakitegemea barani Afrika. 


Na Eltaweel alithibitisha kwamba uhuru wa kitaifa kwa nchi za kiafrika unakabili changamoto binafsi zilizokabili Afrika mnamo zama zote, akiashiria kwa ukosefu toka nchi za kiafrika miongoni mwao kiwango cha kiuchumi, ingawa lina Rasilimali na nguvu ya binadamu. 


Ambapo Eltaweel aliashiria kwa umuhimu wa kuangalia maslaha ya bara la kiafrika toka vijana wake kwa ajili ya kuunda mustakbali yake na ustawi wake kati ya mataifa, akisisitiza juu ya dharura ya Ushirikiano wa kiafrika kiafrika katika nyanja zote. 


Pia Eltaweel alielekea Siasa ya kimisri kwa bara la kiafrika, akisisitiza juu ya Shime  ya Uongozi wa kisiasa wa kimisri kwa kujumuisha nchi za bara la kiafrika, kulingana na Imani yake kwa mchango wa nchi za kiafrika katika kuunda Mustakbali na kupambana na changamoto  zinazokabili bara la kiafrika. 


Na kwa upande wake Dokta Hesham Azmy aliashiria kwa mchango wa Baraza kuu kwa utamaduni katika kuongeza mawasiliano ya kiutamaduni pamoja na Afrika na kuimarisha mahusiano kati yap Misri na nchi zote za kiafrika kwa Utambulisho wa kiafrika wa Misri. 


Na Azmy alionyesha mchango wa Kiongozi aliyekufa Gamal Abd Elnasser katika Ukombozi wa bara la kiafrika na harakati ya kiafrika, kiarabu, na kiislamu yap  kutopendelea, akiashiria kwamba Siasa ya Misri vinaeleza usaidizi kamili kwa harakati za Ukombozi barani Afrika, akionyesha juhudi  za kimisri kubwa zaidi katika uwanja huu pamoja  na kuonyesha mchango wa kikanda wa kimisri wakati wa Rais aliyekufa Gamal Abd Elnasser, uliozidishwa pamoja naye mtazamo wa kiutamaduni wa kimisri barani Afrika. 


Na Azmy alisisitiza kwamba bara la kiafrika linadhihirisha katika kipindi hiki kwa Matumaini na Matarajio kwa mtazamo wa Rais Abd Elfatah Elsisi kwa kuchukua Bara la kiafrika kuelekea zama za Ustawi na maendeleo sawa sawa na Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika. 


Na mkutano ulijadili kutambulisha washiriki kwa Baraza kuu kwa utamaduni, na kuonyesha matukio muhimu zaidi  ya kiutamaduni yanayohusu upande wa kiafrika, ukiongezeka na kusisitiza juu yay juhudi za Baraza katika kuunganisha Ushikamano wa kiutamaduni wa kiafrika, alielekea matukio muhimu zaidi yanayopangwa kwa Baraza mnamo kipindi kijacho, yanayohusu bara la kiafrika.

Comments