Muhamed Fadl anatangaza mdhamini rasmi kwa michuano : mabasi yanahudumia elfu 40 pamoja na kampuni ya SWEFL.
- 2019-06-20 18:39:08
Nichini
Misri tu bado mashabiki wanaelekea uwanja kwa gari lake, na sasa wakati wa
kubadilisha jambo hilo kupitia kutosheleza njia za kuhamisha watu wote kwa
urahisi na raha na ifanye safari ya kuhamisisha iwe rahisi zaidi". Na hiyo inayofanya tume iandaayo kushirikiana
na kutoa saini pamoja na kampuni ya SWEFL ili kuwa mdhamini rasmi kwa michuano.
Na
tume iandaayo kombe la mataifa ya kiafrika
ilitangaza kwamba kampuni ya SWEFL ili iwe mdhamini rasmi katika mkutano
uliohudhuriwa na Muhamed Fadl "Meneja wa michuano ", Ahmed Shober
"Rais wa Shirikisho la Soka", na wahusika wa kampuni kubwa ya kimisri.
Na Bwana Fadl wakati wa kauli yake alisema
kwamba : tunaangalia kila elezo
kinachopatikana katika safari yay mshabiki, tulitosheleza kila kitu ndani ya
uwanja kama inavyowezekana kama viti
vipya, vyoo safi, msikiti mkubwa na mahali pa kupokea walemavu, tulifanya kila
kitu."
Na
aliendelea "na ili kukamilisha jaribio jipya kwa shabiki, tulikuwa na haja
ya mshiriki mpya anayetutoa masuluhisho mapya katika njia za Usafiri.
"
Masuluhisho
manne:
Na
Mahmoud Nouh "Rais wa Sekta ya kazi katika kampuni ya SWEFL alieleza
kwamba Luna masuluhisho manne hutolewa kwa fomu ya simu.
Na
alisema :"kwenye fomu hii utakuta mechi zote za michuano, unaweza kuchagua
mechi unayetaka kuihudhuria na kupata tiketi yake na hapa utakuta njia 600
ndani ya Kairo unaweza kuchagua inayokufaa ili kupata kitu chalk katika basi
yenye raha.
Na
aliendelea "unaweza kupata basi zima ukiwa na watu wengi pamoja nawe.
"
Na
aliongeza "Pia unaweza kukuta kwetu njia za Usafiri nje ya Kairo, na
suluhisho la nne ni mabasi madogo.
Tunatoa mabasi kwenye vituo vya Metro ili kukuhamisha ndani ya uwanja
moja kwa moja.
Na
alisisitizia kwamba Kuwepo kwa SWEFL huhudumia elfu 40 toka mashabiki mnamo siku ya mechi, na hili
ni jambo tunalolifahari.
Na
Muhamed Kamal "Mwenyekiti wa tume
ya usambazaji katika michuano "alielezea njia ya kushirikiana pamoja na
SWEFL.
Na
alionyesha " Nilikuwa nazungumzia Fadl kuhusu jaribio la kombe la dunia,
na aliniambia kwamba wazo la kutumia njia za kuhamisha watu kwa ujumla
zilipunguza mzito kubwa kwenye njia na
lango la kuingia, na zilirahisisha shughuli za kuenda uwanjani.
Aliendelea
"tulianza kutafutia mshiriki atakayetoa kwetu suluhisho lenye nguvu zaidi.
Na tija ilikuwa SWEFL.
Magdy Yaekoub
Na
Bwana Fadl kwenye mkutano alitangaza
mkataba pamoja na kampuni kwa kutolea paundi elfu 150 kwa hospitali ya kutibu
matatizo ya moyo inayohusiana na taasisi ya Magdy Yaekoub.
Na
alieleza "tunalenga kupatikana
mawazo mema yanyaosababisha kheri kwa nchi kwenye michuano na kuhudumia
kundi lolote linalohitaji usaidizi.
Comments