timu zote za kundi la pili zimewasili kwa Aleskandria

 Timu za kundi la pili  Ziiliwasili Aleskandria kwa kucheza michuano ya   kombe la Mataifa ya kiafrika  zitakazofanyika  huko Misri katika kipindi cha Juni 21 hadi 19 Julai ujao.

 

Timu za Ghenya , Nigeria, Burundi na Madagaskar, ambazo hucheza katika  kundi la pili ziliwasili Aleskandria zinazokaribishwa  kwa Arus  Elbahr Elmotwast (BI harusi ya bahari ya katikati).

 

 

 Timu ya Nigeria hufanya mafunzo yake ya kila siku kwenye uwanja wa chuo  Cha kibahari huko Abu Qir wakati ambapo  Ghenya hufanya mafunzo katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Aleskandria, Burundi katika klabu ya Etehad Elsakandari  tawi la  Smouha na Madagaskar kwenye uwanja wa chini huko Burj Al Arab.

 

Timu ya Nigeria hufanya mafunzo yake  katika vipindi viwili vya asubuhi na jioni wakati ambapo kocha wa Ujerumani Ruhr alipewa kipindi cha asubuhi kwa ajili ya mafunzo ya kimwili katika makao ya timu wakati jioni ilikuwa kujitolea kwa mafunzo ya ujuzi.

 

Wakati huo huo, kundi la Aleskandria iliandika kesi ya kwanza ya kubadili mchezaji kutokana na kujuriehewa wakati wa mechi ya kirafiki kati ya Guinea na Misri, Ambayo imekwisha kushinda mabao matatu kwa mafarao dhidi ya lengo moja  katika maandalizi ya Kombe la Mataifa ya kiafrika.

 

 Na Mchezaji ni:

 

 

 

Jina: Baysama Sankoh

 

 

 

Umri: miaka 27

 

 

 

Mahali pa kuzaliwa: Ufaransa

 

 

 

Uraia: Ghuinea

 

 

 

Kituo: Dahir Ayman

 

 

 

Klabu: Kaen Kifaransa (inacheza  katika ligi ya nafasi   ya kwanza)

  Amekuwa mchezaji wa kimataifa wa Guinea tangu mwaka 2013 na amejiunga na mechi tisa za kimataifa. Alhassan Bangora anatarajiwa kuwa mbadili kwa  Baysama Sankoh

Comments