Kiongozi aliyempenda mwanamke mmisri.
Uhuru wetu
hautakamilika ila pamoja na Uhuru wa nchi zote za kiafrika, basi kwamba tangu
zamani nidhamu ya Ukoloni inategemea juu ya utenganisho kati ya watu na
uongozi...
Ukoloni ni nidhamu inayopaswa kuharibiwa, historia ya bara hili itabadilika kulingana na maamuzi yetu.
Zisahau chuki zetu na ifanye Ghana kama mfano wa uhuru kwa Afrika yote.
katika kauli
yake : neno la Nikroma
Fransis Kwami Nikroma anayejulikana na Alka Mtanko linalomaanisha asiyekosi.
alizaliwa katika tarehe ya 18, mwezi wa Septemba, mwaka wa 1909, kutoka kabila la( Nomi) kijijini mwa (Nkroful) nchini Ghana, alikufa tarehe ya 27, mwezi wa Machi, mwaka wa 1972,kutoka familia moja, naye ni baba kwa wavulana watatu na msichana mmoja, watatu hao ni kutoka bibi mmisri "Fathia Rizk" aliyejulikana nchini Ghana kwa "Arus El Nile".
Nikroma
alisifwa kwa werevu wake na mhusika wake mwenye athari kubwa ingawa unyenyekevu
wake. Ana lakabu nyingi pia kama "AlASNDOLIN" inayomaanisha mtu
mtaalamu, na "PG" inayomaanisha aliyetoka Jela, na hii ni ishara kwa
shughuli zake wakati wa ukoloni.
Alifanya
kazi kama mwalimu katika shule ya msingi mpaka mwaka wa 1934 kisha, rais wa
Taasisi ya wanafunzi waafrika Marekani baada ya Ushirikiano wake katika kuianzisha,
baadaye alikuwa naibu wa rais wa Umoja wa wanafunzi wa Afrika Magharibi, kisha,
alichaguliwa kama mmoja wa wahusika katika mkutano wa tano wa kiafrika katika
Manshister.
Baada ya
hayo alikuwa mhusika mkuu wa chama cha mkutano wa "pwani Ya Dhahabu ya
pamoja", na kiongozi wa harakati za uhuru wa Ghana toka ukoloni wa
kiingereza, na mnamo mwaka wa 1952 alikuwa waziri mkuu wa Ghana.
Naye ni
miongoni mwa waanzishi wa Taasisi ya umoja wa kiafrika" umoja wa Afrika
sasa ", aliuongoza mwaka wa 1965, alipewa mkufu wa dhahabu katika mkutano
wa kilele cha kiafrika kupitia harakati za kukumbusha waongozi wa Taasisi ya
umoja wa kiafrika, inatajwa pia yeye ni miongoni mwa walioitwa kwa umoja wa
kiafrika, basi kwamba yeye aliomba kufanya mkutano wa Akra mwaka wa 1958, nao
ilikuwa nguzo ya kwanza kwa uhuru wa bara, katika mwaka wa 1961 alitoa wazo la
kufanya Umoja wa nchi za kiafrika lakini nchi hizo zilipendeza jina la Taasisi
ya Umoja wa kiafrika.
Alikuwa na
nadharia tofauti za uhuru wa mtu, Ujamaa na mfumo wa utawala na mtazamo wake
ulipatikana katika pande tatu nazo ni( mapinduzi ya vijana dhidi ya kizazi cha
zamani- mapinduzi ya wananchi dhidi ya Marais wa sasa waliopata utawala kwa
Kimwinyi - mapinduzi ya wananchi dhidi ya ukoloni).
Kauli zake:
kwanza "tunapaswa kufanya juu na chini ili kuhakikisha utawala wa kisiasa
baadaye yote yatahakikishwa"
"
tunapendeza hatari wakati wa uhuru kuliko Utulivu pamoja na Utumwa"
"
kuiharirisha Afrika toka utawala wa kiuzungu ni dhamana ya pekee kwa
uhuru"
Naye ana
mawazo mengi nayo ni kama " elezo la kiafrika la kuandika tena historia ya
kiafrika"
Pia "
nazungumzia Uhuru kwa wapiganaji wa uhuru"
"
ufahamu nafsi"
Na "
wasifu ya Ghana"
Nikroma na
rais wa Misri Gamal Abd Elnasser waliokuwa marafiki wakubwa na bwana Gamal ndiye
aliyemshawishi mama wa bibi Fathia ili kuolewa na Nikroma Akisema"
utakuwepo ubalozi wa kimisri nchini Ghana na njia moja ya kusafiri wakati
wowote, naye aliposwa na chande cha vito kinachothaminiwa kwa paundi za kimisri
100 moja, walioana mnamo siku ya kuamkia mwaka mpya au Krismas(1957- 1958)
Na
inayopaswa kutajwa hapa ni kwamba Abd Elnasser alijua miadi ya harusi ingawa
wengi wenye nafasi kubwa hawajajua ila baada ya kuimaliza kwa saa kadhaa, na
mwana wao mkubwa aliitwa Gamal kufuatia jina la kiongozi na rafiki yake ya
kimisri aliyemwakaribisha nchini Misri pamoja na familia ya arusi yake. Ili
kufahamika kwamba Gamal ni indiketa kwa rais wa Ghana, na bibi huyo alikuwa
akimwambia harakati za wayahudi nchini Ghana wakati wa ziara yao kwa Misri
;lililosikitisha Ubalozi wa kiyahudi nchini Ghana toka ndoa hii. Misri
imewakaribisha familia ya Nikroma baada ya mabadiliko ya 1966 baada ya
kuwakaribisha katika uwanja wa ndege, walikaa katika jumba la Kairo kwa miezi
mitatu baadaye walikaa katika Maadi.
Nikroma
akipata mkufu wa jamhuri toka jamhuri ya kiarabu ya Misri, na shau yenye
heshima kitivoni mwa Kairo mwaka wa 1958.
Comments