Rais El Sisi anafungua michuano ya Kombe la Mataifa ya kiafrika kwenye uwanja wa Kairo.


 Leo, Rais Abdel Fattah El Sisi alifungua michuano ya Kombe la Mataifa ya kiafrika ya 2019, inayokaribishwa kwa Misri mnamo  kipindi cha Juni 21 hadi Julai 19, na kwa ushirikiano wa timu 24 kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano hiyo. 



Ufunguzi huo ulihudhuriwa na Waziri wa Vijana na Michezo, Dokta Ashraf Sobhy,  na Rais wa Shirikisho  la Kitaifa na la kiafrika kwa Soka.




Inayopaswa kutajwa hapa ni  kwamba timu ya kitaifa inakuwepo katika kundi la kwanza la mataifa ya Afrika, linalojumuisha Kongo, Uganda na Zimbabwe.


Comments