Waziri wa Vijana na Michezo huchukua kampeni ya vijana ya Misri "himiza na safisha "

Mechi ya ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya kiafrika Misri 2019 iliyomalizika kwa ushindi wa  timu ya Misri dhidi ya mwenzake wa Zimbabwe kwa goali moja ilishuhuduia kutoa  Kundi la vijana wamisri mashabiki wa timu ya kitaifa wanatoa kampeni ya "himiza na safisha", iliyoanzishwa baada ya kumaliza mechi  kwa kusafisha daraja za uwanja wa Kairo wa kitaifa, kila mmoja katika mahali pake kupitia kusanya takataka ndani ya vifuko kisha kuziweka ambapo mahali pake. 

 

Katika muktadha huo, Waziri wa Vijana wa Michezo Dokta. Ashraf Sobhy aliwashukuru  vijana hawa na ameusifu utendaji wao, hasa kuhimiza na kuhamasisha timu yao wakati mzima wa mchezo ,

  Akisisitiza umuhimu wa kueneza wazo hili katika viwanja vyote vya kimisri, hivyo kwamba vijana wamisri daima wawe, waanzishi ulimwenguni katika kuzindua mipango ya jamii na maendeleo,

 

  Ambayo huchangia kwa kiasi kikubwa kudumisha mabadiliko ya miundo na mazingira ya maendeleo ya jumla iliyohudhuria Misri wakati wa sasa

Comments