Uwanja wa Juni 30

Uwanja wa Ulinzi wa hewa, Uwanja kuu ni kijiji cha michezo ya ulinzi wa hewa, uko katika eneo la mtaa wa tano katika mkoa wa kairo, Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watazamaji 30000, unaitwa kwa  Jina hili kwa sababu unaambatana na sherehe za Vikosi Wa Ulinzi vya Hewa ,na  Kukumbuka ujenzi wa ukuta wa Barlif yaliyosababishwa na uharibifu mkubwa kwa Jeshi la Israeli wiki ya kwanza ya mwezi wa Juni mwaka 1970 Inaitwa "Wiki ya Mavuno ya Phantom", baada ya ndege ya  Phantom ya Israeli ilifika kwa mara ya kwanza na Kulazimisha upande wa Israeli kukubali mpango wa Rogers kuacha vita vya Hewa. umekaribisha mechi kati ya klabu ya Al- Ahli na klabu ya Nigeria ya Sunshine katika nusu fainali ya Ligi ya klabu  bingwa ya Afrika 2012 ilikuwa ni mechi ya kwanza ya rasmi katika uwanja huo. Pia Uwanja huo ulishuhudia mechi ya kurudi kwa timu ya Misri na timu ya Ghana katika fainali ya Kombe la Dunia ya 2014.

Comments