Kwa mnasaba wa Kombe la mataifa ya Afrika... Wizara ya vijana na michezo inawapokea washiriki katika mashindano ya" UBORA " kwa vijana waandishi na waandishi wa vyombo vya habari hadi mwisho wa Julai
- 2019-06-24 13:34:30
Wizara ya vijana na michezo
inapokea shughuli zanazoshiriki katika mashindano ya "UBORA" kwa vijana
wa vyombo vya habari mpaka 31 Julai 2019,na hayo ili kudhamini ushirikiano wa
shughuli za kihabari na za vyombo vya habari zinazohusika kuzungumzia michuano ya Kombe la mataifa ya ya kiafrika
inayoundwa hapa nchini Misri toka 21 Juni hadi 19 Julai.
Na Udhamana mkuu wa tuzo
ulisisitiza juu ya kutoangalia shughuli zinazotolewa baada ya tarehe hii sawa
na kupokea kwa mikono au kupitia Mail inayohusu tuzo, ambapo inatarajiwa kuweka
shughuli hizo zinazoshirikiana ndani ya kamati kubwa ya kuhukumu ili kuthaminiwa.
Na Dokta Ashraf Sobhy
"Waziri wa vijana na michezo " alikuwa akitoa nakala ya kwanza ya
tuzo ya "UBORA " kwa vijana
waandishi wa vyombo vya habari wanaozingatia masuala ya vijana na michezo.
Na tuzo ya UBORA inajumuisha
makundi kadhaa, ambapo kundi la kwanza linajumuisha sehemu ya Uandishi wa
Vijana inayohusu maudhui zinazoshughulikia masuala ya vijana hapa nchini Misri,
pamoja na sehemu ya Uandishi wa kimichezo, na sehemu ya picha ya kimichezo bora
Zaidi.
Ama kundi la pili linatoa tuzo
Tathmini kwa watangazaji vijana bora wa
programu za kiruninga, na wao bora zaidi katika Utangazaji wa programu za
kiidhaa, na Mjumbe kijana bora Zaidi.
Na Orodha ya mashindano haya
yanaidhinisha pia kutoa tuzo mbili kwa waanzishi wa Vyombo vya habari na
Uandishi wa kimichezo, zinazobeba majina ya waliofariki Elmestkawy na Fayez
Elzomor.
Na kwa mnasaba wa urais wa
Misri kwa Uongozi wa kiafrika, na kupanga michuano ya mataifa ya Afrika,
mashindano hujumuisha sehemu inayohusu waandishi waafrika wanaozingatia masuala
ya vijana na Michezo barani Afrika, nayo ni tuzo ya kwanza ya pekee inayotolewa
toka Misri kwa Vijana waafrika.
Na ili kuhimiza Utafiti wa
kisayansi, huamua kutoa tuzo kwa utafiti wa kisayansi wa kiutendaji bora zaidi katika uwanja wa michezo kwa watafiti
vijana.
Masharti ya mashindano:
Orodha ya tuzo inaidhinisha
kwa kupokea shughuli za waandishi na vyombo vya habari wasiopia miaka 40,na
hayo kwa shughuli zilizochapishwa au zilizotangazwa mnamo kipindi cha (1
Januari 2018 hadi 31 Julai 2019).... Na kila Mwanzishi wa habari au ( Mpiga picha) sawa akiwa akisajiliwa katika
jedwali za chama cha waandishi au hufanya kazi kwenye Jarida moja au mitandao
ya kielektroniki, wale wote wana haki ya kutangulia kwa tuzo..
Kila Mhariri (Mpiga picha) ana haki ya kutangulia kwa shughuli mbili.
Mhariri anatoa sura toka
maudhui yake iliyochapishwa pamoja na faili ya Word kwake, haijumuishi jina la
Mhariri, au jina la Jarida, au Tovuti.
Shughuli hupelekewa kwa ofisi ya kiufundi kwenye Wizara ya vijana
na michezo ( ghorofa ya pili katika Wizara)
au kuzipeleka kupitia Email hii " awards@emss.gov.eg."
Anayetangulia ambatana pamoja
na sura yake, sura ya kitambulisho chake, sura ya kadi la chama cha waandishi,
au sura ya kadi la taasisi ambapo anapofanya kazi.
Na kwa upande wa shughuli za
runinga na idhaa..
Mshindani hupeleka CD inayojumuisha shughuli maarufu
zaidi zilizotolewa naye mnamo kipindi cha 1 Januari 2018 hadi 31 Julai 2019
katika muda isiyozidisha kwa dakika 30.. Na shughuli hutolewa kwa ofisi ya
kiufundi kwenye Wizara ya vijana na michezo au kuzipeleka kupitia Email hii
(awards@emss.gov.eg).
Comments