Yeye ni mmoja wa wachezaji bora zaidi na maarufu wa mpira wa
miguu waliojulishwa kwa viwanja vya Kimisri katika historia zake zote.
Alicheza kwa klabu ya soka ya Al-Ahly na timu ya Misri.hivi sasa yeye ndiye rais wa klabu ya kimisri Al
Ahly tangu Desemba 1, 2017.
Mahmoud Ibrahim Ibrahim Al-Khatib alizaliwa kwenye mji wa
Sinbillawin katika mkoa wa Dakahlia Oktoba 30, 1954.
mwenendo wake wa kitaaluma ..
Al-Khatib alianza safari na soka kupitia lango la klabu ya Al-Nasr.Alipokuwa na umri wa miaka
15, alikuwa maarufu katika uwanja wa mpira wa miguu hasa wakati wa ushiriki
wake katika ligi ya shule pamoja na shule ya kimichezo.
wakurugenzi wa klabu ya Al-Nasr walikubali kuhamisha
Al-Khatib kwa Al-Ahly mnamo alikuwa karibu sana kotoka kusaini
kwa Ismaili. Wakati huu Al-Khatib alikuwa na umri wa miaka 16. Mechi ya
kwanza ya al-Ahli dhidi ya timu ya klabu
ya klabu yake ya zamani ya ELNASR ,naye alikuwa chini ya umri wa miaka 18.
Safari yake pamoja na klabu ya Al Ahly kama mchezaji:
- Mahmoud Al-Khatib alipanda timu ya kwanza katika klabu ya
Al-Ahly na alicheza mechi yake ya kwanza dhidi ya klabu ya plastiki mnamo
Oktoba 15, 1972. Katika mechi hiyo alifunga goli lake la kwanza na baada ya
goli la plastiki yaliyoingia magoli mengi katika ligi mpaka alipofikia siku ya
kustaafu kwa magoli 108 katika michuano ya ligi aliyafunga katika michezo 199
mnamo miaka 17 ya mfululizo wa kucheza.
Safari yake na timu ya kimataifa:
El- Khatib alicheza kwa mara ya kwanza na Misri mwaka wa
1974 na kushirikiana na mafarao katika michezo ya Olimpiki ya 1980 na 1984.
Katika toleo la Los Angeles, alifunga goli zuri zaidi katika mechi ya Misri
iliyoishinda kwa 4-1 juu ya kosta Rika, ambayo ilitoa Misri tiketi ya usafiri
kwa duru ya pili kwa mara ya kwanza tangu Tokyo mwaka 1964.
Kuondoa ..
Alistaafu kimataifa mwaka 1986, baada ya kuongoza timu ya
kimataifa kushinda michuano iliyoandaliwa na Misri.
Na ndani .. Mechi ya Al Hilal ya kisudan katika fainali ya
ligi ya Mabingwa Ijumaa mnamo 15 Desemba 1987,kama
Mechi ya mwisho ya El-Khatib ili kuagana na "mashabiki
wa Bebo" na kutangaza kustaafu
kwake kucheza kwa kudumu.
Hatua zake za kiidara pamoja na Klabu ya Al Ahly...
Ilikuwa hatua ya kiidara yenye mafanikio makubwa, ambapo alitaratibu
katika shughuli za Idara kwenye Klabu ya Al Ahly, na alikuwa na cheo cha
Mwanachama wa uongozi wa klabu ya AlAhly, kabla ya kupata cheo cha Naibu wa
Rais wa Ngome nyekundu.
Mnamo tarehe ya kwanza, mwezi wa 12 mwaka wa
2017,alichaguliwa Rais wa Klabu ya AlAhly baada ya Mhandisi Mahmoud Taher.
Tuzo na Lakabu...
Mnamo miaka ya kucheza kwake pamoja na mashetani wekundu,
Elkhatib alipata lakabu 10 kwa Ligi, na makombe matano ya kimisri. Pia yeye
aliainisha historia katika mashindano ya
kibara wakati ambapo alifunga magoli 37 katika mechi 49, nayo ni idadi ajabu
lisilopitwa hadi sasa toka yeyote, na baada ya zaidi ya miaka 30 toka kustaafu
kwa Bibo, AlAhly ilipepea michuano ya kombe la Afrika kwa klabu (Ligi ya
Mabingwa wa Afrika hivi sasa) 1982,1987,
na kombe kuu la kiafrika mnamo miaka ya
1984,1985,1986.
Alipata lakabu ya "Mfungaji bora wa kwanza wa
AlAhly" misimu minane toka 1973 hadi 1981 hakuna mwengine kama yeye ila
Gamal Abd Elhamid katika msimu wa 1978 na 1979 kwa magoli saba kwa kila mmoja.
Alipata lakabu ya "Mfungaji wa ligi mara mbili "
Ya kwanza ilikuwa katika msimu wa 1977,1978 kwa magoli 11 na
aliikariri katika msimu wa 1980,1981 kwa magoli hayo hayo.
Aliingia klabu ya MIA alipopambana na Teke aliyoiweka katika
wavu wa Saleh Mahmoud "Golikipa wa ELKROM " lililosababisha ushindi
wa ALAHLY kwa magoli matatu kwa goli moja,
na baadaye alifunga goli lake la 101 katika wavu wa ELZAMALEK.
Alipata tuzo la mchezaji bora barani Afrika kwa mwaka 1983.
Na kulingana na yaliyotajwa toka "Frans Football"
katika tarehe ya 3 mwezi wa Januari mwaka wa 1984 kwa mnasaba wa idadi
iliyotolewa kwa tuzo, Mjumbe wa Gazeti toka Kairo alisema kwamba : nasisitiza
kwa wote kwamba ni ngumu kwa Kairo au kwa
Misri nzima kupata mchezaji wa Soka mwenye kipaji na mhusika kama Mahmoud
Elkhatib".
Katika mwaka wa 1987 alichaguliwa kwa Shirikisho la kitaifa
la Soka ili kupata tuzo la kucheza kuzuri ulimwenguni, ambapo Elkhatib alicheza
zaidi ya mechi 450 za kirafiki na kirasmi, sawa na timu ya Misri au klabu ya
ElAHLY naye hakupata ila mwonyo mmoja.
Comments