Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo na jenerali Muhab
Mmhaish Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez na Jenerali Hamdi Osman Gavana
wa Ismailia,walimpokea bwana Nana
Akufo-Addo Rais wa Jamhuri ya Ghana katika Uwanja wa Ismailia na kwa kutazama
mechi ya Ghana na Benin katika Kundi la sita
la michuano ya kombe la Mataifa ya kiafrika.
Ghana inakutana na Benin katika mechi zake za kwanza za kundi litakalofanyika katika
Ismailia pamoja na Benin , Ambapo mechi
ya kwanza kati ya timu za kameruni na Guinea Bissau ilimaliza kwa ushindi wa kameruni kwa 2-0.
Mechi hiyo ilihudhuriwa na Waziri Mkuu wa Ghana Yao Osavo Marvo, Makamu
wa Rais wa Shirika la Soka la kiafrika Amago Melvin Penek, Balozi wa Ghana huko
Misri, Paul Okuh.
Comments