Waziri wa Vijana na Michezo hufungua eneo la kukaa kwa wanachama katika tawi la klabu ya Al Ahly kwenye mji wa Nasr.

Waziri wa Vijana na Michezo Dokta. Ashraf Sobhy na Jenerali Khaled Abdel-Aal, Gavana wa Kairo, wanasindikiza na Kapteni Mahmoud Al-Khatib, Mwenyekiti wa klabu ya Al-Ahly, AlAmri Farouq, Makamu wa  Mwenyekiti  mkuu  idara na wajumbe kadhaa wa baraza , walifungua eneo la wanachama katika mita 10,000.

Dokta Ashraf Sobhy alionyesha furaha yake kwa majengo ya kimichezo na  kijamii yaliyojengwa  na klabu ya Al-Ahly kwa wanachama wake. Alisisitiza kuwa klabu hiyo inatoa mfano wa uwekezaji mzuri  wa kimichezo na maendeleo ya miundombinu ya ujenzi ambayo ni kubwa zaidi kwa taasisi hii ya kimichezo kubwa.   na Waziri wa Michezo alihitimu kwa kusema kwamba Wizara daima inahimiza klabu za kimichezo kwa kuendelea na kuboresha vyanzo vyake ili kupatikana faida na tija ya kiuchumi inayorejesha kwa wanachama wa jumuia kuu kwa faida.

Kwa upande mwingine, Mwenyekiti wa klabu ya Al-Ahlyi Mahmoud Al-Khatib alimshukuru Dokta  Ashraf Sobhy , Waziri wa Vijana na Michezo, kwa   msaada wake mkubwa  wa kuendelea kwa klabu za kimisri hasa klabu ya Al-Ahly.

akitathmini ziara yake leo kufungua mradi mmoja  muhimu zaidi wa tawi la klabu ya mji wa Nasr

Rais wa klabu ya Al Alhy alieleza kwamba mradi huo umepangwa kulingana na vipimo vya hivi karibuni katika suala hili, na unazingatiwa  upanuzi wa eneo la kukaa kwa wanachama karibu na jengo la kijamii kulingana na idadi ya wanachama wa klabu hiyo.

El Khatib aliongeza kwamba eneo hilo ina maduka 12 na eneo la huduma kwa wanachama ambalo linakaribisha watu 2,000 na linajumuisha viwambo vikubwa.

mradi umekuwa kutekelezwa kikamilifu kwa chombo cha Huduma ya kitaifa ya Wizara ya Ulinzi mnamo kipindi cha  miezi 9....

Comments