Katika mfumo wa kueneza michuano ya Mataifa ya kiafrika na maadhimisho ya mapinduzi ya Juni 30 ... Ashraf Sobhy hushiriki katika Mashindano ya Mbio "Afrika linatujumuisha "

Dokta Ashraf Sobhy , Waziri wa Vijana na Michezo anatoa Mashindano ya Mbio , yaliyoandaliwa kwa Wizara ya Vijana na Michezo, katika mfumo wa kueneza michuano ya Mataifa ya kiafrika wakati wa  maadhimisho ya mapinduzi ya Juni 30 chini ya kauli mbiu "Afrika  linatujumuisha "

Sobhy  aliwashukuru washiriki wote katika Mashindano haya ,akisisitiza kuwa kukaribisha Misri kwa michuano ya kiafrika na kuyatoa kwa sura hii ya heshima baada ya kupata nafasi ya uandaaji wake kwa miezi michache, hilo  linatoka kwa hisia ya Wamisri  kwa ukuu na uwezo wa kufanya jambo lisilowezekana, ambalo wangeweza kulithibitisha mnamo miaka iliyopita na hii ilikuwa wazi katika mapinduzi ya Juni 30.

akiongeza kwamba Mbio huu una lengo la kufufua umoja wa kiafrika chini ya urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika, na pia kuzingatia Aswan mji mkuu wa vijana  waafrika 2019.

inayopaswa kutajwa hapa ni kwamba  Mashindano yalifanyika kwa kushirikiana na Sauti za Vijana wa Afrika, na tasisi la tunalinda Urithi wetu na katika mfumo wa Aswan ni mji mkuu wa vijana waafrika.

Comments