Misri inaanza njia yake ya michuano ya wachanga wa Mpira wa wavu kwa kupambana na Portariku.
- 2019-07-01 11:14:12
Wahusika wa Shirikisho la kimisri la Mpira wa
wavu walichagua kupambana timu ya kiportariki mnamo ufunguzi wa mechi za timu
mbili katika michuano ya dunia kwa vijana chini ya miaka 18, inayoamuliwa
kufanyikwa mnamo kipindi cha 5 hadi 14 Septemba ijayo.
Na timu yetu ilichagua timu itakayopambana naye katika mechi ya
ufunguzi kwa sifa ya timu inayoratibu michuano na ina haki ya kuchagua timu
itakayopambana naye katika mechi ya ufunguzi.
Na kura ya michuano ilionyesha kwamba timu yetu
ya kitaifa ipo katika kundi lenye nguvu, kundi la kwanza.
Na pamoja na timu yetu ya kitaifa kundi hilo lilijumuisha timu nne
nazo ni "Brazil, China, Kameroon, Porteriku"
Kundi la pili lilijumuisha " Italy, America, Korea ya kusini,
Canda, Mexico.
"
Kundi la tatu lilijumuisha "Urusi, Argentina, Bila Urusi,
Thailand, Romania"
Ama kundi la nne lilijumuisha "Uturki, Japan, Piru, Polgharia,
Congo Demokrasia"
Na kura hii ilifanyikwa na Dokta Ashraf
Sobhy "Waziri wa vijana na michezo ", Dokta Amr Olwani "Rais wa
Shirikisho la kiafrika na Naibu wa Rais wa Shirikisho la kimataifa", na
Ahmed Abd Eldaym "Mwenyekiti wa Rais wa Shirikisho la kimisri la Mpira wa
wavu".
Comments