Kwa upande wa matukio ya michuano ya Mataifa ya Afrika ... Historia ya timu za Kiarabu zinazoshiriki katika michuano hiyo

Misri Inakaribisha Kombe la Mataifa ya kiafrika 2019 toleo la 32 mnamo  kipindi cha Juni 21 hadi Julai 19  ,kwa ushirikiano wa  nchi 24 za Kiafrika,  miongoni mwao nchi tano za Kiarabu , pia Misri imeandaa viwanja ili viwe tayari kuwapokea ndugu zake kutoka nchi za Kiarabu. Tunisia, Morocco , Algeria na Mauritania. "

Timu ya mafarao hushiriki katika michuano ya toleo hili baada ya kushiriki  kwa mara 23 kabala ya hiyo , ambapo ilicheza michezo 91, ilishinda 51 kati yao na imefungishwa katika michezo 15 ilipoteza katika 25, na Ikafunga mabao 155,na wavu wake ulifungishwa kwa magoli 86 .

Mohamed Salah, mchezaji wa Liverpool na timu ya kitaifa, ni mmoja wa wachezaji bora zaidi katika orodha ya mafarao ili kumvutia na timu yake.yeye ameweza kuhakikisha mwelekeo  ambao utabaki kuwa haikufa katika historia kama nyota nyingine wa kimisri. Pia alishinda tuzo mbalimbali kama Simba ya kidhahabu kwa mchezaji bora barani Afrika zinazotolewa kwa  gazeti la Al Muntakhab la kimoroko mwaka 2017 , tuzo ya mchezaji bora nchini Uingereza katika mwaka 2017, tuzo ya Chama cha waandishi wa soka nchini Uingereza kwa mchezaji bora 

 zaidi katika msimu wa kwanza mwaka 2017, tuzo ya Kampuni  dhamini ya Ligi ya kiingereza kwa mchezaji bora katika Ligi ya kiingereza 2017 na Na tuzo ya kiatu cha kidhahabu  katika Ligi ya kiingereza 2017, 2018.


pia Timu ya Tunisia inashiriki katika michuano hiyo baada ya kushiriki kwa  mara 19 kabala ya hiyo  , ilicheza michezo 68, kushinda  mechi 22, ilisawazisha katika mechi 25 na imeshindwa katika michezoa 21 na ilifunga mabao 88 na wavu wake ulifungishwa kwa magoli 86.

Youssef El Masakeni ni mmoja wa wachezaji maarufu zaidi wa timu ya kertaja, ambaye alipata kiatu Cha kidhahabu kama Mfungaji bora  katika ligi ya kitunisia kwa msimu wa 2011-2012.


pia timu ya Morocco ya kitaifa Ilishiriki katika michuano baada ya kucheza  kwa mara 17 kabala ya hiyo  , ilicheza michezo 31, ilishinda michezo 21 , imefungishwa  katika michezo 22 na hasara 13, ikifunga magoli 70 na magoli 57 yalifungishwa katika wavu wake.


Moroko inashiriki na  nyota wa timu yake  ya kitaifa, Mehdi Ben Attia, ambaye alishinda tuzo nyingi, mfungaji  bora wa  ligi ya kimorocco mwaka 2017-2018.

Algeria pia hushiriki katika michuano ya mataifa ya kiafrika baada ya kushiriki kwa  mara 16, Sofiane Figouli ni akili  ya timu ya Algeria na ujuzi wake wa juu,  ambapo ameshinda

Tuzo la Mchezaji bora Zaidi wa kiafrika katika ligi ya kihispania kwa Mwaka 2014-2015 ,na katika mwaka 2014 Kamati ya Olimpiki na kimichezo ya Algeria. Imechagua Sufian mwanamichezo bora wa kialgeria  .

pia Mauritania hushiriki katika  michuano ya Kombe la Mataifa ya kiafrika kwa mara ya kwanza katika historia yake , ambapo goli  la Mokhtar Hassan Eid,ni goli la kwanza katika historia ya timu ya Mauritania katika fainali za  Kombe la Mataifa ya kiafrika katika dakika ya 72 kutoka penalti.


Comments