Dokta Wajih Azzam, Rais wa Shirikisho la Baiskeli la kimisri na kiafrika na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Kimataifa alitangaza Uanzishi wa Kombe la Dunia ya Baiskeli 2020 mjini Kairo.
Hii ilikuja baada ya mafanikio ya Misri katika kuandaa Kombe la Mataifa ya kiafrikana taratibu za mashindano ya Mbio ya kimataifa kwa Baiskeli ya Misri , ambao ulifanyika wakati wa kipindi cha Machi 22-26 katika Luxor na Aswan.
Na Dokta Wajih. Azzam amesisitiza kwamba maandalizi ya kukaribisha tukio kubwa na la kimataifa inandelea hatua kwa hatua kuanzia sasa.
Azzam alihitimisha haditha yake kuwa inayotarajiwa ni kwamba mabingwa wetu wamisri huonekana kwa ngazi bora wakati wa mashindano ya Dunia yajayo na kutarajia ushindani kwa medali kadhaa kwa sababu ya kuwepo kwa wachezaji wenye kipaji na kiwango kizuri, wakiongozwa na mbingwa wa kimisri na kimataifa Ibtisam Zayed.
Comments