Misri au
Jamhuri ya kiarabu ya kimisri (rasmi).Nayo ni nchi ya kiarabu ipo kaskazini
mashariki mwa bara la Afrika.
Idadi ya wakazi wake inakaribia watu milioni 104
takriban. Lugha yake rasmi ni lugha ya kiarabu. Mji mkuu wake ni mji wa Kairo
unaozingatiwa kuwa ni mji mkubwa zaidi barani Afrika.
Mji huu unajumuisha miji mingi ya zamani pamoja na makumbusho.Kama vile: Mapiramidi, Abul Haul,Makanisa na makazi ya watawa wa kikristo ya kizamzani,ngome ya Swalahu Dini,misikiti ya utawala wa Mamaaliiki,pamoja na Masultani ya kiothmani.
Timu yake
Timu ya mpira wa miguu ya kimisri au ya kifarao nayo
ni mwakilishi rasmi wa misri wa mpira wa miguu. Inazingatiwa kuwa ni timu ya
kwanza ya kiafrika ya kiarabu
imefanikiwa kufikia michuano ya kombe la dunia mwaka 1934.
Timu hii inaongozwa na Hani Abu Ziad. Imeanzishwa mwaka 1921. Licha ya kwamba ilijiunga na shirikisho la kimataifa la soka mwaka
1923.
Aidha rangi za mavazi ya timu ya kimisri zinajumuisha
shati nyekundu na suruali nyeupe pamoja na soksi nyeusi kulingana na rangi za
bendera ya jamhuri ya kiarabu ya kimisri.
Wachezaji wa
timu ya soka ya taifa ya Misri:
Golikipa |
Sherif
Ekrami M
. Shenawi |
Beki |
Ahmed
Hegazy Ali
Gabr ayman
ashraf Baher
El Mohamadi mahmoud
hamdy Mohamed
Abdel Shafy Omar
Gaber Saad
Samir |
Kiungo |
Abdallah
El Said Ahmed
Elmohamady Ahmed
Fathy Mahmoud
Hassan Trezeguet Mohamed
Elneny Ramadan
Sobhi Salah
Mohsen Sam
Morsy Tareq
Hamed |
Washambuliaji |
Mahmoud
Abdel Razek - Shikabala Mahmoud
Kahraba Marwan
Mohsen Mohamed
Salah |
Comments