Mnamo jioni ya Jumanne, Dokta Ashraf Sobhy "Waziri wa
vijana na michezo " alikutana na idadi kadhaa ya wakilishi wa benki za
kiserikali kwa ajili ya kutafutia mipango ya utekelzaji wa mradi wa sekta au
kituo cha mafunzo ya "Uongozi wa kizazi".
Na Dokta Ashraf Sobhy "Waziri wa vijana na michezo
" alisisitiza kwamba mradi wa sekta na kituo cha mafunzo ya "Uongozi
wa kizazi fulani " kile kinawakilisha harakati mpya katika uwanja wa
Ujasiriamali kwa vijana; kwa ajili ya
kusonga mbele kuelekea maendeleo endelevu 2030, akiashiria kwamba siasa ya nchi
inahangaika kwa kuwaandaa makada vijana na kuwawezesha ili kuendeleza pamoja na
mahitaji ya soko la kazi na kuangalia dhana ya kazi huru.
Na Bwana Sobhy
alifafanua kwamba : Wizara ya vijana na michezo kupitia kuwafundisha vijana kwa
Ujasiriamali inahagaika kwa kuunda akili
inayoongoza mpango na inayohangaika kwa uvumbuzi, kisha kuunda mwenye
Rasilimali mjuzi, anayejua vipaji vya kuwasiliana na mawazo yenye uvumbuzi, ana
uwezo wa kuchunguza matatizo ya kijamii ya hivi, akibainisha kwamba mradi wa
sekta ya Uongozi wa kizazi fulani unawawezesha wasomi kwa kutoa miradi mipya
yenye faida kubwa, inayonufaika katika utekelzaji wa njia za mipango wa maendeleo endelevu.
Na Waziri wa vijana na michezo aliashiria kwa harakati ya
Wizara kwa ajili ya kujenga jukwaa la kiarabu la kiafrika la kielektroniki kwa
Ujasiriamali , kwa lengo la ushikamano na kuunda nafasi mpya kwa Ujasiriamali
kwenye mataifa, kupitia kupata faida toka ujuzi kadhaa uliokusanya kwa
Ujasiriamali kwa ngazi ya kimataifa na kikanda, na kutambua nukta za nguvu na
mahitaji ya nchi nyingine katika uwanja huo wa Ujasiriamali .
Na hayo yote hutokea wakati wa uzinduzi wa Mheshemiwa Rais
Abd Elfatah Elsisi, Rais wa Jamhuri kwa jukwaa la vyuo vikuu vya kiarabu na
kiafrika, pamoja na kuunda jukwaa la kielektroniki kwa ajili ya kufundisha
Ujasiriamali , lenye mada zote za mafunzo, warsha za kazi, rikodi zinazohusu kwa yanayotolewa kwa Wizara katika uwanja wa
Ujasiriamali.
Na mkutano huo ulihudhuriwa na : Dokta Ghada Ali
"Mshauri wa Waziri wa vijana na michezo kwa Urasiliamali ", Manal Yousef "Mkuu wa Idara kuu kwa
miradi na kuwafundisha vijana", na
Dokta Amal Gamal "Mkuu wa Idara kuu kwa programu za kiutamaduni na
kijitolea ", pamoja na idadi kadhaa
ya makada wa Wizara na Waheshemiwa wasaidizi wa Waziri wa vijana.
Comments