Mali ( Jamhuri ya
Mali) ni nchi ya Afrika ya Magharibi. Inapakana na Algeria, Mauretania, Niger,
Burkina Faso, Cote d'Ivoire na Senegal. Haina mipaka ya pwani kwenye bahari
yoyote. Sehemu ya juu ni mlima wa Hombori Tondo (mita 1155 juu ya UB) ulioko
katikati ya nchi. Sehemu ya kaskazini ni sehemu kubwa ya eneo la Mali ambayo ni
jangwa la Sahara. Wakazi wengi wanaishi kusini, karibu na mito ya Senegal na
Niger.
Mji mkuu |
Bamako |
Mji mkubwa nchini |
Bamako |
Lugha rasmi |
Kifaransa |
raisi wa nchi |
Ibrahim Boubacer Keita |
Waziri mkuu |
Modibo Keita |
fedha |
CFA franc |
Kupata uhuru |
Kutoka faransa 22 / 9 / 1960 |
Idadi ya wakazi |
Takriban 14.5 milioni |
Dini |
Uislamu 90% Ukristo 5 % Dini za kiafrika 5% |
Baadhi ya Maeneno ya kitalii |
-
Bandiagara Cliffs (Dogon Country) -
Parc national du
Mali, Bamako |
Timu ya soka ya taifa
ya Mali
-
Timu ya taifa ya soka ya Mali, Ilianzishwa mwaka 1960
na Kocha mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Mali ni Alain Gherisi. Uwanja wake wa
michezo ni Uwanja wa tarehe 26 machi. Nahodha wa timu hii ni Samba.
-
Mali ilipata fursa ya kushiriki
katika michuano ya kombe
la kimataifa ya Afrika mara tisa nazo ni : 1972 – 1994 – 2002 – 2004 – 2008 –
2010 – 2012 – 2013 – 2015.
- Mali ilipata fursa ya kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mara moja mwaka 2002.
-
Wachezaji wa timu ya soka ya
taifa ya Mali :
Golikipa
|
Djigui
Diarra Oumar
Sissoko Soumbeyla Diakite |
Beki |
Charles Traore Hamari Traore Mahamadou N'Diaye Mohamed omar Konate Molla Wague Ousmane Coulibaly Souleymane Coulibaly Youssouf Kone |
Kiungo |
Bakary
Sako Mamoutou
N'Diaye Moussa
Doumbia Samba
Sow Sambou
Yatabare Yacouba
Sylla Yves
Bissouma |
washambuliaji |
Adama
Traore Kalifa
Coulibaly Moussa
Marega Mustapha
Yatabare |
-
Comments