Wizara ya vijana na michezo hufanyika sherehe kubwa kwa Mawaziri na Mabalozi waafrika kulingana na michuano ya kiafrika " KAN 2019"

Wizara ya vijana na michezo, kulingana na michuano ya mataifa ya kiafrika  iliandaa sherehe kubwa kwa mahudhurio ya Waziri wa vijana na michezo, Waziri wa Athari, Mabalozi wa nchi za kiafrika zinazoshiriki katika michuano, Waatalamu wa waandishi wa vyombo vya habari waarabu na waafrika, na wanachama wa tume iandaayo, na hayo hutokea Leo jioni, kwenye Ngome ya Salah Eldin.

                                  

Na kwa upande wake Dokta Ashraf Sobhy "Waziri  wa vijana na michezo " alielezea Furaha yake kwa mapokezi ya Ngome ya Salah Eldin kwa Mabalozi, na Mawaziri waafrika  wa vijana na michezo, Ngome inayowakilisha Kina ya historia  kale ya kimisri, akisisitiza juu ya usaidizi mkubwa uliotolewa kwa Uongozi wa kisiasa ili kurahisisha Vikwazo vyote kwa ajili ya kuitoa michuano ya mataifa ya kiafrika kwa sura inayofaa kwa historia na cheo cha Misri kupitia kufanya taratibu kati ya Wizara  zote zinazohusika.

 

Na wakati wa kauli yake,  Dokta Khaled Anan "Waziri wa Athari (Mambo ya kale) " alitangaza kwamba mwaka wa 2019 unaruhusu kwa wenzetu waafrika kuingia vivutio vya kiathari kwa gharama ile ile ya wamisri, kulingana na Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika, na kupokea michuano mikubwa zaidi barani nao ni Michuano ya Kombe la mataifa ya kiafrika.

 

Na wakati wa sherehe huonyeshwa jukumu la Vikosi vyenye silaha vya kimisri ( Jeshi la kimisri)  katika uandaaji wa  michuano ya kiafrika kupitia kuboresha viwanja na kuongeza ufanisi wake.

 

Na mnamo sherehe ile kuheshima nembo ya kijamhuri ( hail ya kuwa na Furaha)   bora zaidi ili kuhamisisha timu za kitaifa katika michuano ya mataifa ya kiafrika 2019 kwa mshindi Ahmed Said mwenye nembo ya "Misri ni nchi bora zaidi ulimwenguni".

Comments