Wizara ya vijana na michezo : chumba kikuu cha operesheni kwa michuano ya mataifa ya Afrika kinaendelea katika kazi yake kwa utaratibu.

chini ya Urais wa Dokta Ashraf Sobhy " Waziri wa vijana na michezo " kauli ya Wizara ya vijana na michezo ilitangaza maendeleo kazi ndani ya chumba kikuu cha operesheni kwa michuano ya mataifa ya Afrika awamu zote, ili kufuatilia maelezo yote ya michuano ya mataifa ya Afrika, itakayoendelea hadi 20 Julai huu, kwa lengo la mafanikio ya michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika na kuitoa kwa sura inayofaa Misri.

 na chumba kikuu kinafanya kazi ya kuongoza na kupambana shida yoyote pia ili kufuata shughuli zote za michuano kwa kushirikiana na tume iadaayo wakati wa mechi za michuano na nje yake, pia wakati wa mazoezi ya timu zishirikizo katika michuano , na kufuata kurahisisha mahitaji yote ya timu zishirikizo, na kurahisisha hatua za kuingiza na kutoa mashabiki toka na kwa viwanja, pamoja na kufuata mamlaka zinazohusika tiketi za mechi, na kulinda timu na vyanzo vya Umeme.

 chumba kikuu cha operesheni ia kinafanya kazi ya kutosheleza njia za raha kwa mashabiki wa timu za kiafrika zinazoshiriki ili kuunga mkono timu zao, pamoja na kurahisisha vikwazo vyote wanaovikabili mnamo makao yao hapa nchini Misri wakati wa siku za michuano.

 pia chumba kikuu cha operesheni kinafuata mahali pa kukaa na maisha ya timu na mashabiki, hadhi za kimatibabu, majeruhi nje ya viwanja kwa mashabiki, pia kuwasiliana kwa hospitali zinazopokea majeruhi na hadhi zile. 

inatajwa kwamba chumba kikuu cha operesheni kinajumuisha wakilishi wa Wizara za vijana na michezo, Ulinzi, Mambo ya ndani, Fedha, Mambo ya nje, Utalii, Afya, Maendeleo ya kienyeji, Ndege , Usafiri, Mawasiliano. Umeme, pamoja na Kituo cha taarifa za Baraza la Mawaziri , Mamlaka ya Matibabu, na Kmpuni ya Maji ya kunywa.

 

Comments