Jenerali mkuu wa Jeshi na Waziri wa Vijana na Michezo wanafuata mazoezi ya timu ya kitaifa kwa soka katika kitivo cha kijeshi

Jana jioni , Jenerali  Mohamed Zaki, jenerali mkuu wa Jeshi Waziri wa Ulinzi na utoaji wa kivita, na Dokta Ashraf Sobhy , Waziri wa Vijana na Michezo, walitembelea kambi la timu ya kitaifa  kwa soka na kufuatilia mazoezi ya wachezaji ,katika uwanja wa kitivo cha kijeshi .na waliwatumaini na walihimiza wachezaji, kabla ya kuanza mechi ya ya raundi ya 16 , leo katika uwanja wa Kimataifa wa Kairo kabla ya timu ya Afrika Kusini.

Sobhy alisisitiza kwamba serikali inasimama nyuma ya wachezaji wa timu na kuwaimerisha na kuamini katika uwezo wao kwa itashinda mchezo wa leo na kufikia raundi za mwisho, na watahakikisha ndoto ya wamisri na kushinda michuano ya kombe la Mataifa ya Kiafrika Na 32, ambayo imeandaliwa na Misri, kwa ushirikiano wa  timu 24 za kiafrika kwa mara ya kwanza sasa.

 inatajwa kwamba timu ya Mafarao,Ilifuzu kwa  raundi ya 16 na ilipata alama kamili kwa ushindi katika mechi tatu na iliongoza kundi, na imepampana na "wavulana" timu ya Afrika Kusini katika mashinano ya raundi ya 16, leo.

Wachezaji wa timu ya soka ya kimisri wanatarajia furaha ya mashabiki wamisri , ambao wanangojea nyingi sana wakati wa raundi zifuatazo katika michuano , ambapo walisisitiza kufanya juhudi zaidi na wanahakikisha mashindano zaidi, kwa kufurahisha mamilioni ya watu wamisri wanaosimama nyuma ya timu.

Comments