Waziri wa Vijana na Michezo hushiriki na vijana katika kampeni ya kusafisha mto wa Nile.

Jumamosi , Dokta. Ashraf Sobhy  Waziri wa Vijana na Michezo, alitoa  kampeni ya "Kiln Shores" kusafisha maji ya Nile kutoka mabaki za plastiki na uhifadhi  wa maji, ambayo inatekelezwa na Wizara ya Vijana na Michezo kwa kushirikiana na Pamoja na shirika la Vijana wanaipenda nchi ya Misri na kampeni hiyo inaendelea kwa miaka miwili ijayo  chini ya Wizara ya Vijana na Michezo.

Kampeni hiyo inafanyika kwa ushiriki wa wanachama zaidi ya 250 wa Wajitoaji wa skauti ya bahari .Kampeni ilitolewa  na klabu ya skauti ya bahari na michezo huko Giza, ambapo washiriki walikusanya mabaki mengi  ya  plastiki toka  maji ya Nile.

Waziri wa Vijana na Michezo alisisitiza kwamba kampeni ya kusafisha na kuhifadhi  Nile kutokana na mabaki na uchafu,ambazo huharibu maisha ya majini na viumbe hai ndani ya maji ya Nile.

Subhi alisema kuwa kampeni hiyo inakuja kama mojawapo ya mipango mingi iliyofanywa na Wizara ya Vijana na Michezo, kama vile "teremka  na Shiriki", "Shirikisha na Kushiriki" na "Mipango ya Uwekezaji", ambayo inatekelezwa kila wiki kwa  Wizara katika mikoa mingi na mabaraza na lengo la kutumikia jamii. ndani ya  kazi ya Wizara ya Vijana na Michezo, akielezea kwamba huduma inaendelea kusaidia mipango yote ya vijana na jamii

Comments