Mwandishi wa habari wa Muritania " Ahmed Andah" anaandika Kwaheri Mama wa Dunia..... na Asante enye Washikaji

  ewe atakayeingia Misri pole ndugu hapa kuna maelfu ya jinsia yake!

 na hayo yalikuwa kabala ya makarne kadhaa yaliyopita lakini sasa kuna mamilioni ya jinsia yako!

 uwe kama unavyotaka, lakini jihadhari kujiona nafsi yako kama mtu tofauti au hata peke yako, basi kwamba wewe hapa ni mmoja wa mamilioni ya watu , usipoamini hiyo basi wapeleke wawaili kwa miji, watakupokea kwa mambo yanayofaa sana, au hata ili kukupokea toka pale, ili kujua kwamba hapa nchini Misri kuna nchi kubwa toka kwenu!

 uwe mtaalamu utaona wataalamu wengi kama wewe , au uwe mjinga utawaona mamilioni ya wajinga wanaokufanana, uwe mwanajamii, mwenye tabia njema, mzuri, mwenye adabu, utawakuta mamilioni kama wewe, au uwe mjeuri mwenye moyo mgumu, mjinga, mkali, mgawanayo, utawaona mamilioni wengine kama wewe! hapa wakati ambapo Yousef Amani na Ridha juu yake alipoomba Uongozi na Utawala alisema; niweke kwenye hazina za ardhi kwani mimi ni mwaminifu na mtaalamu, na alinynyekea kwa Mwenyezi Mungu wake kwa kusema kwamba "mimi sisemi kwamba sina Aibu kwani Nafsi inatuamuru kwa ubaya ila wanaorehemu toka Mwenyezi Mungu , basi kwamba Mwenyezi Mungu ni Msamehe na Rahimu".

 na hapa Farao alijiona nafsi yake na aliwaambia watu wake : " Mimi siyo Mtawala wa Nchi ya Misri na Maji ya Nile haya yanakimbia kwa amri yangu!

  bali yeye aliongeza katika dhuluma yake na alisema kwamba : Mimi ni Mola wenu wa juu'!

  hapa piramidi kubwa za juu katika Ardhi ya Kanana , msomaji anasoma - kama mjinga- mwanzoni mwake kuna karatasi za historia adhimu katika kitabu kinachohifadhiwa!

 hapa unaweza kupumua na kujua maana ya Ustarabu, na kunusa harafu ya Historia, na kuishi Mambo ya kale ya mataifa yaliyopita , na kuona utofauti wake, pia kufahamu siri ya kutofautiana kwake!

Hapa unasoma kwa Nagib Mahfouz mazuri na bora zaidi yaliyoandishwa kwa kalamu, hapa unasikiliza Kawkab Elshark Om Kalthum na kutokana na Elandalib Elasmar Abd Elhalim Hafez yaliyoimbwa toka kwao mazuri kwa waonaji sanaa hii! 

Hapa mto adhimu wa Nile, basi hujui maana ya Nile? Mto ule ulishuhudia uzazi wa kwanza wa ustarabu wa binadamu katika historia.

  Hapa nchini Misri, ambapo tunaweza kuchukua wasifu ya mshairi mpalastina Tamim Elbarghuthy kwa kusema kwamba nchini mwetu kuna watu weusi, Frankish , Kafaaga, Tensili, Kusulubiwa, watatari, waturki " wenye Mwenyezi Mungu" , Kifo, Watu maskini, Malaika, Kafiri, Mchungaji, na kila aliyekanyaga mchanga, Miongoni mwao waarabu wasiotajwa hapa toka mshairi katika utenzi huu kwa lengo tofauti!

 Kwa ufupi hapa, Mama wa Dunia, babake, dadake kakake, shangaziake, ami yake, anti yake, mjomba wake, binti yake, mwana wake, watu wake, na asili yake ya zamani.

 Hapa nchini Misri washikaji walipeleka nyaraka za utangulizi wao kama mabalozi bora zaidi, wenye utawala kikamilifu, ili kuliwakilisha taifa la kale la Muritania kati ya mataifa makubwa ya kiafrika.

 Baada ya leo hakuna mtu atakayezembea Muritania barani, na haitaangaliwa kwa utani au uzembe!

  Hapa ndani ya Mama wa dunia, ushirikiano wa kwanza wa timu ya taifa haukuwa kama ushirikiano tu, na haukuhusiana na tija tu, Bali kuhudhuria kwake kulikuwa kama nukta ya mageuzi iliyounda kituo kinachotengenisha zama mbili, kati ya zama ya mwulizaji anakuuliza je Muritania ni Taifa? Je mnaongea lugha ya kiarabu? Kwa zama ambapo wote wanajua kwamba Muritania ni Taifa, wote wanaliheshima na kulisifu, zama za Hashtag zinazoshindana kwa milioni mia tatu.

  Kwaheri Mama wa Dunia..... Na asanteni enye Washikaji.

 

Comments