Ujumba wa Timu ya
Karate ya Misri umeshinda medali 6 tofauti katika michuano ya ligi ya karate ya
kidunia Kwa vijana iliyofanyika huko korwatia katika kipindi Cha Julai 2 hadi
8.
Medali za Misri
zilikuja dhahabu na fedha na shaba nne ,
ambazo ni kama ifuatavyo:
Shahd Ibrahim
alipata medali ya kidhahabu katika
mashindano ya uzito 54kg.
Asser Khaled
alishinda kwa medali ya kifedha katika mashindano ya uzito 57kg.
Noha Amr alishinda
kwa medali ya kishaba katika mashindano ya Kata.
Norhan Mohammed
alishinda kwa medali ya kishaba katika
mashindano ya Kata.
Mayar Zine El
Abidine alishinda medali ya kishaba katika mashindano ya uzito 54kg.
Louay Hisham ni
medali ya kishaba katika mashindano ya
uzito 57kg.
Adham
Ismail Mwenye nafasi ya tano katika mashindano ya uzito 52kg.
Comments