Timu ya kitaifa ya vijana wa Karate ilishinda medali tano
wakati wa ushiriki wake katika Ligi ya kidunia, iliyofanyika katika kipindi Cha
Julai 2 hadi 8,nchini korwatia.
Medali za Misri zilikuja dhahabu, fedha na medali tatu za
shaba.
Ujumbe wa kimisri uliundwa na wachezaji 21 na wachezaji wa kiume
12 na wachezaji wa kike 9.
wachezaji wa kiume ni: Mohamed Abdel-Moneim, Ali Thabet, na
Abdul Rahman Kamal al-Din, Asser
Hijjawi, Abdel-Rahman Abdel-Fattah, na Hossam Mohammadi, Bilal Rashad,
Mohamed Hassan na Mahmoud Abdul-Aziz, Omar Abdul Khaliq, Amr Ahmed Owais na Adham Ismail.
Wachezaji wa kike ni: Basmala Ali, shahd Muhammad, Nourhanne
Faisal, Nourhanne salama, Nour Ihab,
Sarah Hussein, malak Kaoud, yuomna abd el Tawab na Noha Antar.
Ujumbe unaongozwa na Essam Abdel-Raouf, na timu huongozwa kwa njia ya ufundi na Sayed Salem
kocha wa Kumite, Mohamed Fathi kocha wa
Kumite, na Ibrahim Magdi kocha wa kataa, na ujumbe unaambatana na
Mheshimiwa Abdul Hadi refi wa kimataifa, hasan hasan refi wa kimataifa , na
Tawfiq Sabri mutawala
Comments