Timu ya Karate inapata nafasi ya pili katika Ligi ya kidunia kwa medali 10

Ujumba waTimu ya Misri ya vijana kwa karate ulifanikiwa kwa cheo Cha  pili katika michuano ya kidunia nchini Croatia baada ya japani katika orodha ya medali.

Timu ya kitaifa ya Misri imeongezeka Kwa medali 10 tofauti kama  dhahabu 4 na medali mbili za fedha na nne za shaba mbele ya Ufaransa, Urusi, Uturuki na Italia.

Ujumbe wa kimisri  uliundwa na wachezaji 21 wakiume na wakike .

wachezaji wa kiume ni: Mohamed Abdel-Moneim, Ali Thabet, na Abdul Rahman Kamal al-Din, Asser  Hijjawi, Abdel-Rahman Abdel-Fattah, na Hossam Mohammadi, Bilal Rashad, Mohamed Hassan na Mahmoud Abdul-Aziz, Omar Abdul Khaliq,  Amr Ahmed Owais na Adham Ismail.


Wachezaji wa kike ni: Basmala Ali, shahd Muhammad, Nourhanne Faisal,  Nourhanne salama, Nour Ihab, Sarah Hussein,  malak Kaoud,  yuomna abd el Tawab na Noha Antar.


Comments