Waziri wa Michezo anafuata matokeo ya mabingwa wa Misri katika mashindano ya michezo ya mazoezi ya mwili , karate na judo

Sobhy : Anasifu mafanikio yaliyohakikishwa …. Na anahidi  kwa heshima inayofaa Mabingwa wa Misri

wakati wa ufuatiaji  unaoendelea na Wizara ya Vijana na Michezo, Dokta. Ashraf Sobhy  amefuata matokeo ya hivi karibuni ya idadi tofauti ya michezo ya kibinafsi iliyojumuisha Mweleka, karate na Kuinua uzito.

Ambapo Waziri wa Vijana na Michezo amesifu matokeo yaliyopatikana na mabingwa wa Misri katika michezo hii .

Amesisitiza kwamba mabingwa hawa watapata kuheshimwa sahihi ya mafanikio kulingana na mafanikio yao yanayoongezwa kwa  rekodi ya mchezo wa kimisri.

 

Misri imeshinda medali 10 katika michuano ya Karate ya Kidunia kwa vijana nchini Croatia, ambayo ilifanyika wakati wa kipindi cha 2 hadi 8 Julai, na medali nne za dhahabu, ambazo zilizoshindawa na Shahad Ibrahim, Bilal Amr, Abdul Rahman Mohammed, Nur Ehab, na fedha mbili, zilizoshindwa na Asser Khaled, Ali Osama, na medali 4 shaba zilizohakikiswa na Meya Zine El Abidine, Louay Hisham, Noha Amr, Nourhan Mohamed.

Pia Timu ya Misri kwa vijana ilishinda medali 17 tofauti katika michuano ya Kiarabu iliyofanyika Tunisia wakati wa kipindi cha  Julai 4 hadi 7, zikagawanyika kwa dhahabu 9, fedha 4 na shaba4, na kwa matokeo haya Misri ilipata cheo cha pili kwa ujumla  cha michuano Kwa dhahabu moja chini kuliko ya ndugu Yake Moroko.

Katika hali inayohusiana na hilo, Dokta. Ashraf Sobhy , Waziri wa Vijana na Michezo, alimpongeza mchezaji Darwish Ramadan baada ya  kupata medali ya kidhahabu Kwa Judo katika  “mashindano mkubwa ” nchini Canada.

Comments