Waziri wa Uwekezaji na Waziri Mkuu wa Tanzania wanachanguza fursa za uwekezaji katika nchi zote mbili
- 2019-07-10 11:42:19
Dokta Sahar Nasr, Waziri wa Uwekezaji na Ushirikiano wa Kimataifa, na
Waziri Mkuu wa Tanzania Qasim Majaliwa, walifungua mkutano wa kazi( Biashara)
wa kimisri na kitanzania na kuwepo Waziri wa Kilimo wa Tanzania Javit N.
Hasunga, idadi ya wafanyabiashara wamisri na mabalozi wa nchi mbili.
Dokta Sahar Nasr alisema kuwa Misri na Tanzania ni miongoni mwa
waanzishi wa kwanza kwa Umoja wa Afrika, akibainisha kuwa sasa na urais wa
Misri wa Umoja wa Afrika chini ya uongozi wa Rais Abdel-Fattah al-Sisi, kuna
nafasi nzuri za kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili.
Waziri huyo aliongeza kuwa Misri imefanya harakati kubwa ya urekebishaji
katika uchumi wa kimisri, na kwa nguvu hiyo hiyo iliwahimiza wawekezaji wamisri
kuwekeza katika bara la Afrika, kuhamisha teknolojia na ujuzi wa kiufundi, kazi
na kuhakikisha usalama wa maji na chakula kwa watu wa bara.
Waziri aliwaambia Wafanyabiashara
kutoka pande z mbili kuimarisha ushirikiano wa uwekezaji na maendeleo kati ya
nchi mbili na kutumia mafanikio
yaliyopatikana sasa.
Tanzania inataka kuwekeza uhusiano wa kisiasa baada ya ziara ya El- Sisi
Waziri Mkuu wa Tanzania alisema kuwa kwa muda mfupi nchi yake imepokea
ziara ya kihistoria kutoka kwa Rais Abdel Fattah Al Sisi,na ziara ya Waziri
Mkuu, Dokta Mostafa Medbouli na wajumbe
wa wawekezaji na wafanyabiashara wamisri. "Jukumu letu sasa ni kukabiliana
na ziara hiyo na kubainisha uchumi wa kitanzania kwa jamii ya biashara ya
kimisri ."
aliongeza
kwamba Tanzania ilifanyika shughuli
kubwa ya kurekebisha kodi ili kuhimiza
Uwekezaji , na kuimarisha upande wa uchumi na biashara nchini Tanzania na
nchi saba jirani zake zinazotegemea
bandari tatu za Tanzania na
Alitoa wito kwa wafanyabiashara wa Misri kuwekeza nchini Tanzania, hasa
katika sekta ya kilimo, kwa kuangalia
kwamba Tanzania ina ardhi zenye rutuba ambazo zinaweza kukua mazao ya kitropiki
kama vile kahawa, chai na miwa .
Alisema kuwa mahusiano kati ya nchi mbili ni nguvu na kupanuliwa, na
wazalishaji na wafanyabiashara wamisri
wanatakiwa kufaidika nao, hasa
kwamba ukuaji wa uchumi wa Tanzania unatarajiwa kufikia asilimia 7.1 mwaka huu.
Comments