Moroco kwa
kiswahili Moroko, Maroko, au Ufalme wa Moroko, ni nchi ya Afrika ya
Kaskazini-Magharibi. Inapakana na bahari ya Atlantiki na Mediteranea; upande wa
bara inapakana na Algeria na Mauretania. Maeneo ya Kihispania ya Ceuta na
Melilla yamezungukwa na Moroko kwenye pwani ya Mediteranea. Mpaka wa kusini
haueleweki vizuri kwa sababu Moroko inadai ya kwamba Sahara ya Magharibi ni
sehemu ya eneo lake, hali isiyokubaliwa na jumuiya ya kimataifa tangu Moroko
ilipovamia Sahara ya Kusini mwaka 1975.
Mji mkuu |
Rebat |
Mji mkubwa nchini |
Casablanca |
Lugha rasmi |
Kiarabu |
mfalme wa nchi |
Muhamed wa sita |
Waziri mkuu |
Abdelilah Benkirane |
Fedha |
Dirham |
Kupata uhuru |
Kutoka ufaransa 2 / 3 / 1956 Kutoka hispania 1 / 4 / 1956 |
Idadi ya wakazi |
Takriban milioni 32.7 |
Dini |
Uislamu dini rasmi |
Baadhi ya Maeneno ya kitalii |
Timu ya soka ya taifa ya Moroco:
Timu
hii ina lakabu “The Atlas Lions”, timu ya soka ya taifa ya Moroco Ilianzishwa
mwaka 1955.Kocha mkuu wa
timu ya soka ya taifa ya Moroco ni Hervé Renard na Nahodha wa timu ni Mahdi
Benatia.
-
Moroco ilipata fursa ya kuwa
mwenyeji wa michuano ya kombe
la mataifa la Afrika mara moja : 1988.
-
Moroco ilipata fursa ya
kuiwakilisha bara la Afrika katika Kombe la Dunia mara tano : 1970 – 1986 – 1994
– 1998 – 2018 .
-
-
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa
ya Moroco :
Golikipa |
El
Kajoui Yassine
Bounou |
Beki
|
Achraf Hakimi Hamza Mendyl Manuel Marouan Da Costa Mehdi Benatia Romain Saiss |
Kiungo
|
Amine
Harit Faycal
Fajr Hakim
Ziyech Karim
El Ahmadi Mehdi
Carcela Moubarak
Boussoufa Nabil
Dirar Nordin
Amrabat Sofyan
Amrabat Younes
Belhanda |
Washambuliaji
|
Ayoub
El Kaabi Aziz
Bouhaddouz Khalid
Boutaib Youseff
En-Nesyri |
Comments