Baraza la kitaifa kwa Wanawake linamshukuru Msaidizi wa mwenyekiti wa Kamati iandaayo michuano ya Afrika 2019
- 2019-07-10 12:31:05
Baraza la kitaifa kwa Wanawake, lililoongozwa na Dokta. Maya Morsy, na
wanachama wake wote, walitoa shukrani
kubwa kwa Dokta Jihad Amer, Msaidizi wa
mwenyekiti wa Kamati iandaayo na Mwenyekiti wa Kamati ya Wajitolea na
marafiki ambatao wa Timu katika Kombe la Mataifa ya Afrika imeyofanyika sasa,
Juu ya jitihada bora katika kuwaandaa vijana wa viongozi (wajitolea )katika kuandaa matukio ya Kombe
la Mataifa ya kiafrika - Misri 2019.
Dokta Maya Morsy alionyesha fahari yake na shukrani kwa Dokta. Jihad Amer kwa jitihada zilizojitokeza katika kuandaa mashindano na kuondoka kwake katika fomu hii ya ajabu, Akisisitiza kwamba dokta jihad ni mfano wa kike mzuri sana tunafahirisha kwake ,Alielezea jukumu lake linalojulikana sana katika kuandaa viongozi wa vijana wenye uwezo wa usimamizi, kuchukua jukumu, kufanya kazi chini ya shinikizo na kufikia ufanisi wa juu, pamoja na kutambua thamani na umuhimu wa kazi ya hiari katika huduma ya nchi. Na kuinua jina la Misri kama mokaji na antarajia mafanikio yote kwake .
Ni muhimu kutajwa kuwa mbungu Dokta . Jihad Amer alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Wajitolea na waongozi wa timu katika Machi 28, 2019. Moja ya jitihada muhimu zaidi ni kuandaa timu ya kujitolea vijana na waongozi wa timu katika maandalizi kwa ajili ya michuano kupitia utaratibu wa kushiriki kwa mujibu wa viwango vya michuano ya michezo ya kimataifa, fursa ya kuongeza thamani ya ushirikiano na ushiriki kwa watu wenye ulemavu pamoja na ushiriki wa vijana wa kujitolea kutoka Dunia yote.
Comments