Kwa mahudhurio ya Wizara na Mamlaka 16................ Misri na Ujerumani zinajadiliana miradi ya siku za usoni kwa mwaka wa 2019.

   Dokta Sahar Nasr " Waziri wa Uwekezaji na Ushirikiano wa kimataifa " , Dokta Tarek Shawky " Waziri wa Elimu", Jenerali Mahmoud Sharawy " Waziri wa maendeleo ya kienyeji" , na Dokta Ashraf Sobhy " Waziri wa vijana na michezo ' walifanyika mkutano pamoja na upande wa kijerumani kwa ajili ya kuainisha hatua za mwisho  zinazohusu miradi ya  siku za usoni kwa mwaka wa 2019 , na hayo ni wakati wa ufuatiliaji wa matokeo ya ziara ya Dokta Mustafa Madbuly " Waziri mkuu ' kwa mji mkuu wa Ujerumani " Berlin " na kuandaa kwa mikutano ya raundi ya nne kwa tume ya pande mbili za kimisri na  kijerumani,inayotarajiwa kuifanyika mnamo kipindi kitakachokuja.  

       na kutoka upande wa kijerumani kuhudhuria Klaus Kramer ' Mkuu wa sehemu ya eneo la mashariki ya katikati na Afrika kaskazini kwenye Wizara ya muungano ya kijerumani ili kushirikiana katika uwanja wa mendeleo ya kiuchumi , na Ofy Jelen " Mkuu wa ofisi ya ushirikiano wa kimaendeleo wa kijerumani " , Sebastian Waild "  Naibu wa Mkuu wa ofisi ya Ushirikiano wa kimaendeleo wa kijerumani" , Anderias Cook " Meneja wa shirika la kijerumani kwa ushirikiano wa kimataifa nchini Misri " na Borkhard Henz " Meneja wa ofisi ya Benki ya maendeleo ya kijerumani nchini Misri".  

     na kwa upande wa kimisri mkutano huo ulihudhuriwa na Motaz Yakn " Mshauri wa kwanza wa Waziri', Balozi Reda Bebars ' Mshauri wa Waziri kwa masuala ya ushirikiano wa kimataifa na msimamizi wa sekta ya kiulaya",  Bibi Darin Elsayd " Mhusika wa faili la Ujerumani kwenye Wizara", na Wakilishi wa  Wizara, na Mamlaka 16 nazo ni Wizara ya Usafiri, Makazi, jamii za kimaendeleo , Uhamiaji , Masuala ya Wamisri nje , Fedha, Mazingira, Kilimo , Upangaji , Mawasiliano , Teknolojia ya Taarifa , Elimu , Vijana na michezo, Maendeleo ya kienyeji, Chombo cha kuendeleza miradi midogo, na katikati, Mamlaka kuu ya Ukaguzi wa Fedha, na Chombo kikuu cha Upangaji na Idara.                          na Dokta Sahar Nasr " Waziri wa Uwekezaji na Ushirikiano wa kimataifa " alisistiza juu ya Umuhimu wa kuendelea mafanikio ya ushirikiano wa uwekezaji na maendeleo kati ya  pande mbili, ulioakisi juu ya sekta kadhaa za kiuchumi na kijamii nchini Misri na juu yao ni Nishati na Miundombinu. 

na Waziri aliongeza kwamba serikali ya kimisri ina tathmini kubwa kwa michango ya kijerumani ya kimaendeleo nchini Misri, yenye sifa za ufanisi na kudumu na kufaa pamoja na mipango ya maendeleo ya kitaifa kwa Misri, basi kwamba Serikali ya kimisri daima inahangaika kupanua katika ushirikiano wa kimaendeleo ya kiwekezaji kati nchi mbili,  kutumika kwa nguvu ya mahusiano ya kihistoria, na kukaribia kati ya viongozi wa kisiasa wa nchi mbili, linalosababisha kukua kiwango cha ushirikiano wa kimaendeleo kati ya nchi mbili ili kufikia dola bilioni 2,4 na kiwango cha viwekezaji vya kijerumani nchini Misri  kilifikia  dola bilioni 7,4.         

 na Dokta Tarek Shawky " Waziri wa Elimu " alisema kwamba kuna mielekeo toka Rais Mheshemiwa Abd Elfatah Elsisi kwa kuhamisha uzoefu wa kijerumani katika uwanja wa Elimu kama yakiyofanyika nchini Japana, akiashiria kwamba Wizara ilipita hatua  kubwa kadhaa  za kutekleza mkakati wa kuboresha elimu ya kiufundi nchini Misri kwa kushirikiana na washiriki wa maendeleo nchini Ujerumani, na alama muimu zaidi toka alama za ushirikiano wa kijerumani zilizojadiliwa ni kuunda mamlaka kwa ajili ya kudhamini ubora wa elimu ya kiufundi , kuunda chuo cha kuunda na kutoa walimu wa elimu ya kiufundi, na kuunda uwanja wa kuboresha ubora wa elimu ya kiufundi unaofuatiwa kwa Wizara ya Elimu ya kiufundi na kushirikiana pamoja na Sekta binafsi.  

Na kwa upande wake Jenerali Muhamed Sharawy " Waziri wa maendeleo ya kienyeji " alisema kwamba mirasi ya hivi sasa pamoja na upande wa kijerumani ilishuhudia mafanikio makubwa mnamo kipindi kilichopita, akifafanua kwamba Wizara iliweka mfumo ili kupokea malalamiko toka wananchi , na mengi yalikuwa katika suala la kuondoa takataka  nalo ni jambo lililoangaliwa toka Wizara kwa kushirikiana na idadi kadhaa ya wizara husika kwa hatua kubwa mnamo miezi iliyopita wakati wa kutekleza mielekeo ya uongozi wa kisiasa, na Sharawy aliashiria kwa shime ya Wizara  kwa kushirikiana na washiriki wa kimataifa wote wanaofanya kazi nchini Misri kwa kufanya maendeleo endelevu katika mikoa yote na kuinua kwa ubora wa huduma zinazotolewa kwa wananchi, akiashiria kwamba waliwafikiana pamoja na upande wa kijerumani katika kuinua ufanisi wa wafanyikazi kwenye idara ya kienyeji , na kufundisha makada vijana kwenye mikoa kwa kazi na kufahamiana  na mipango na mawazo yote yanayotolewa nao.

 na Dokta Ashraf Sobhy " Waziri wa vijana na michezo" alielekea ushirikiano kati ya Misri na Ujerumani  katika kuendeleza vituo vya vijana na kufundisha vijana juu ya ujuzi wa uongozi , akiashiria kwamba 60% toka wakazi wa Misri ni Vijana, akifafanua kwamba serikali ya kimisri inaangalia rasilimali za binadamu mwanzoni mwa shughuli za uwekezaji.  

  na Anderia Cook " Meneja wa shirika la ushirikiano wa kimataifa nchini Misri " alisema kwamba Misri ilichukua hatua kubwa katika kuboresha uwezo wa kitaasisi na marekebisho ya kisheria, kuunga mkono mchango wa sekta binafsi katika uchumi na kuboresha ubora wa Elimu, pia ilishuhudia maendeleo makubwa katika uwanja wa Nishati, na ushirikiano kati ya nchi mbili ulionyeshwa wazi katika kufanikiwa vituo vya kampuni ya Semenz katika uungaji mkono wa mfumo wa Nishati nchini Misri.     

 na Anderias Cook alizisifu juhudi zinazotolewa katika uwanja wa kutengeneza upya kwa takataka gumu , akiashiria kwa kusisitiza toka upande wa kijerumani kwa kupanua katika ushirikiano wa kimaendeleo nchini Misri , baada ya matokeo chanya yaliyoshuhudiwa mnamo miaka midogo iliyopita


Comments