Senegal itacheza imeingia katika nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu 2006, baada ya kuiadhibu Benin Julai 10 jijini Cairo, nchini Misri 1-0.
Furaha ilio je kwa "Simba" kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka huu. Hata hivyo Senegal imeapa kutwa Kombe la Afcon mwaka huu.
Ni kizazi kipya ambacho kimefanya Senegal kupiga hatua kubwa katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika. Tunataka kuwea historia kwa nchi yetu. Henri Saivet, kiungo wa kati wa Simba, amesema, huku akiwa na imani ya kuendelea hadi mchuano wa mwisho wa fainali. Hata hivyo amepongeza timu yake na ushindi walioupata licha ya kuwa haikuwa rahisi dhidi ya timu ya taifa ya Benin.
"Tangu kuanza kwa michuano hii ya AFCON 2019, hakuna mechi ambayo ni rahisi, amesema Henri Saivet.
“Tumekutana na timu ambao haikuwa rahisi kuifunga. Katika
hatua ya makundi, hatukupoteza dhidi ya Cameroon na Ghana. Kisha tuliweza
kuwaondoa Morocco katika mzunguko wa 16. Katika mchuano wetu na Benin, tulijua
kwamba itachukua muda kuwaangsha. Lakini hatukuwa na hofu. Tulijua nini cha
kufanya. Bodi ya usimamizi walifanya kazi kubwa ili tuweze kuwaangusha Benin
pamoja na kuwa haikuwa rahisi, " ameongeza Henri Saivet, kiungo wa kati wa
timu ya taifa ya Senegal.
Comments