Nijeria kwa Kiswahili Nijeria, ni nchi ya Afrika ya
Magharibi kwenye pwani ya Bahari Atlantiki. Inapakana na Benin, Niger, Chad na
Kamerun. Mji mkuu ni Abuja ikitanguliwa na Lagos hadi mwaka 1991. Nigeria
imepata uhuru wake tarehe 1 Oktoba 1960, ikiunganisha maeneo ya koloni la
Nigeria na sehemu ya kaskazini ya eneo lindwa la Kamerun ya Kiingereza. Hivi
sasa ni nchi ya Afrika yenye watu wengi na uchumi mkubwa kuliko zote.
Kimataifa, ni ya 7 kwa idadi ya watu na ya 20 kwa uchumi.
Mji mkuu |
Abuja |
Mji mkubwa nchini |
Lagos |
Lugha rasmi |
Kiingereza |
Raisi wa nchi |
Muhamadu buhari |
Makamu wa raisi |
Yemi Osinbajo |
Fedha |
Naira |
Kupata uhuru kutoka
Uingereza |
1 / 10 / 1960 |
Idadi ya wakazi |
Takriban Milioni 180 |
Dini |
Waislamu asilimia 50% Wakristo asilimia 40% Wanaofuata dini za
kiafrika asilimia 10% |
Baadhi ya Maeneno ya
kitalii |
-
Synagogue Church
Of all Nations |
Timu ya soka ya taifa ya Nijeria:
-
Timu ya taifa ya soka ya Nijeria, Ilianzishwa mwaka
1945 na Kocha mkuu wa timu ya soka ya taifa ya naigeria ni Gernot Rohr. Uwanja
wa michezo yake ni National Stadium Abuja. Nahodha wa timu hii ni John Obi
Mikel.
-
Nigeria ilipata fursa ya kuwa
mwenyeji wa michuano ya kombe la mataifa la Afrika mara mbili
: 1980 – 2000.
-
Nigeria ilipata fursa ya
kuiwakilisha bara la Afrika katika katika Kombe la Dunia mara sita : 1994 –
1998 – 2002 – 2010 – 2014 – 2018.
-
Wachezaji wa timu ya soka ya
taifa ya Nigeria :
Golikipa |
Daniel Akpeyi Francis Uzoho Ikechukwu
Ezenwa |
Beki
|
Brian Idowu Chidozie Awaziem Elderson Uwa Echiejile Kenneth Omeruo Leon Balogun Tyronne Ebuehi |
Kiungo
|
abdullahi Shehu Etebo Oghenekaro Joel Obi John Obi Mikel John Ogu Ogenyi Onazi Onyinye
Wilfred Ndidi |
Washambuliaji
|
Ahmed
Musa Alex
Iwobi Kelechi
Iheanacho Odion
Ighalo Simeon
Nwankwo Victor Moses |
Comments