Mtaalamu wa maendeleo
" Hussein Hasaan" amesema kwamba amepeleka pendekezo linajumuisha kuanzisha chuo cha masuala ya hali ya hewa kwa tume ya
utalii na ndege iliyopo chini ya baraza la wabunge.
Kama alivyofafanua
kwamba chuo hicho kilichopendekezwa
kuanzishwa kinazingatiwa kuwa ni cha
kwanza kwa aina yake nchini Misri , barani Afrika na katika eneo la kiarabu, na hayo yatatimia kwa
utaratibu pamoja na shirika la kimataifa la masuala ya hali ya hewa na chini ya
usimamizi wa kituo cha kairo cha kikanda cha mazoezi katika mamlaka kuu ya
masuala ya hali ya hewa. Na chuo hicho
kitakuwepo kwenye chuo cha ndege,
chawakubali waliopata shahada ya Sekondari ,sehemu ya kisayansi.
Na ameongeza kwa kusema pendekezo hilo
linajumuisha kuunganisha vyuo vyote vya
masuala ya hali ya hewa kutokana na mikutano kwa njia ya magamba ya " video ya
kunfratsh" na kituo kikuu cha
chambuzi mjini kairo ili kutambua
maelezo mapya ya hali ya hewa na uratibu
kamili nayo kila siku.Na hayo yote ni mwanzo wa unganisho wa kiarabu wa
kiafrika
Comments