Rais wa Madagascar na Waziri wa vijana na michezo wanaangalieni Uwanja wa kimataifa wa Kairo.
- 2019-07-13 23:45:28
Dokta Ashraf Sobhy " Waziri wa vijana na michezo '
alikumbatana na Rais Anderia Ragolina " Rais wa Jamhuri ya Madagascar " na familia yake katika
matembezi ya kuangalia uwanja wa kimataifa wa Kairo.
na matembezi ya
kuangalia uwanja wa kimataifa wa Kairo yalijumuisha kuangalia Ukumbi wa kupokwa
wageni waheshemiwa, Mlango mkuu, Sakafu ua uwanja, Kituo cha habari, Jumba la
mkutano wa kihabari, Idhaa za kutangaza maoni, na Vyumba vya kubadilisha nguo
za wachezaji. na mnamo matembezi Rais Andria Ragolina aliusifu uwanja wa Kairo, akisisitiza
kwamba uwanja huu unastahili kupokea matukio makubwa zaidi duniani kulingana na
nguzo zake zenye nguvu.na wakati wa hitimisho la matembezi
Rais wa Jamhuri ya
Madagascar alisisitiza juu ya
heshima yake kwa yaliyopelekwa toka Misri kwa Afrika toka Utaratibu bora kwenye
michuano. na Dokta Ashraf Sobhy alisema kwamba kwa uongozi wa Mheshemiwa Rais Abd
Elfatah Elsisi " Rais wa Jamhuri" Nchi ilitoa usaidizi wote kwa ajili
ya kufanikiwa michuano iliyowakilisha changamoto kubwa sana ambapo Misri
ilifanikisha katika kuandaa mahitaji ya michuano toka Miundombinu na nyengine mnamo
miezi michache.
Rais Andria Ragolina amekuja Misri kwa ajili ya
kufuatilia mechi za timu ya nchi yake iliyoshiriki katika michuano ya kombe la
mataifa ya kiafrika kwa mara ya kwanza katika historia yake ikishangaza wote
kwa kufikia raundi ya nane.
Comments