Waziri wa Vijana huanzisha mpango wa "Kuwa mwanariadha “Be Fit ”" wa kufanya mazoezi ya kimichezo katika mibuga na mabustani .
- 2019-07-14 10:46:58
Jana jioni ,
Waziri wa Vijana na Michezo Dokta. Ashraf Sobhy alizindua mpango wa "kuwa
mwanariadha" iliyoandaliwa na Shirikisho la Misri la "riadha za
barabara " Imeongozwa na Islam Kartamu..
Mpango huo,
ambao unasimamishwa matukio yake chini ya Waziri wa Michezo, una lengo la
kueneza utamaduni wa michezo kama njia ya maisha kwa njia ya kufungua "Open Gym" katika bustani zote na
mashamba ya umma nchini Misri
Na
kutaratibu matamsha ya kimichezo kwa kufanya mazoezi katika barabara ili himiza
kufanya riadha "bila kuzaa mzigo wa kifedha, hasa kutokana na mchango
mkubwa wa klabu.
Waziri wa
Michezo na Uislam Qartam waliheshimu Rais wa Shirikisho la Michezo idadi
ya wanariadha kwa kutambua historia yao
na mchango wao katika michezo ya kimisri, miongoni mwao ni Hassan Shehata,
Tahir Abuzaid, Ayman Younis, Shawki Gharib, Hosni Abdrabo, Abdel Halim Ali,
Karam Gaber na Ahmed El Ahmar, pamoja na kumheshimu Msanii Hakim kwa ushiriki
wake katika sherehe ya ufunguzi wa michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wimbo wa
"tukikusanya".
Comments