Ashraf Sobhy huhudhuria Sherehe ya Heshima ya Shirikisho la Kimataifa la Uandishi wa Habari wa kimichezo kwa waandishi wa habari waafrika na Waarabu
- 2019-07-14 10:48:14
Dokta Ashraf
Sobhy , Waziri wa Vijana na Michezo, Wajiani Marlow, Rais wa Shirikisho la
Kimataifa la Uandishi wa Habari wa kimichezo
na Hassan Khalafallah, Rais wa Chama cha Wakosoaji wa Michezo,
waliwaheshimu waandishi wa habari wamisri na waafrika ambao wamefunika michuano
ya Mataifa ya kiafrika zaidi ya mara 10 kwa kutambua jitihada zao.
Sobhy
alielezea furaha yake kwa kuwepo kwa waandishi wakubwa wote , akisisitiza kuwa
wamefanya jukumu muhimu katika uhamisho
wa matukio katika kipindi cha miaka iliyopita, akielezea kwamba walikuwa
kama jicho la kufuatilia na kuwasilisha
kile kinachotokea katika michuano ya kiafrika kwa ulimwengu wote.
Sobhy aliongeza yeye alikuwa na fahari kwa maandalizi ya Misri kwa
michuano ya Mataifa ya kiafrika 2019 juu ya ardhi yake, ambayo iliweza
kuitayarisha mnamo miezi minne tu Misri imethibitisha kwa nchi zote za dunia
kuwa nchi za kiafrika ni nguvu na zinaweza kushinda matatizo na kukaribisha
michuano na mashindano ya kimataifa , Ambapo michuano ya Mataifa ya kiafrika ni
mashindano ya tatu muhimu zaidi duniani baada ya Kombe la Dunia na Ligi ya
Mabingwa,
Na hayo yote
yanakuja kulingana na urais wa Misri kwa
Umoja wa Afrika, ambapo ilikuwa wazi kwamba
nchi za kiafrika zimesimama karibu na Misri, pamoja na kuwepo kwa marais
wa jamhuri na mawaziri wanaimrisha timu
za kimataifa katika michuano, wanaotaka mafanikio kwa wote na kufanya kazi kwa
pamoja kwa mafanikio ya mashindano na kuonyesha kuonekana kwa heshima ya
kimataifa.
Gianni
Marlow, Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Uandishi wa Michezo, alishukuru
Dokta. Ashraf Sobhy kwa kuwepo kwake katika sherehe hiyo, akiongeza kuwa waziri
anaweka makini katika maadhimisho hayo, ambayo yanaonyesha maoni chanya kwa
mambo.
Hassan
Khalafallah alionyesha furaha yake kuwa mwenyeji wa sherehe hiyo, akisisitiza
kwamba sherehe hii inastahili kwa
wenzake waheshimiwa ambao walitoa vyombo vya habari vya miaka ya jitihada za
kazi na kazi kubwa kwa zaidi ya miaka 20, wakati ambao walikuwa na alama
tofauti, kwa hivyo sasa ni wakati wa kuwaambiwa asanteni kwa
zabuni hii.
Hatimaye Vyeti vilipelekwa kwa waandishi wa habari.
Comments