Waziri wa Michezo anawapongeza Ahmed Osama na Saif Issa kwa medali kifidha ya kitano na Taekwondo katika michuano ya dunia

Sobhy ... misaada yote kwa mabingwa wamisri katika michezo mbalimbali Kwa kufurahisha katika kikao cha Tokyo  2020

Waziri wa Vijana na Michezo Dokta. Ashraf Sobhy alimpongoza Ahmed Ossama El-Gendy kwani yeye alipata medali ya fedha katika michuano ya Dunia chini ya umri wa 21 iliyofanyika huko Poland ,siku ya Ijumaa, kwa mafanikio mapya na ya kipekee kwa mchezaji wa timu ya kimisri katika kitano za kisasa.

pia Waziri wa Vijana na Michezo alimpongoza bingwa wa kiolimpiki Saif Issa, ambaye alishinda medali ya fedha kwa 80 kg katika mashindano kikao cha kimataifa kwa vyuo vikuu katika michezo ya Taekwondo, huko Naples.

Kwa upande wake, Dokta. Ashraf Sobhy alisisiteza yeye  Anafuata michango ya mabingwa  wamisri wakati wa sasa katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na ya kibara, hasa wale zimezokufuzu kwa kikao cha Olimpiki huko Tokyo 2020.

Alisema kuwa matokeo na medali zilizopatikana na wachezaji wa Misri katika vikao mbalimbali vya kimataifa sasa ni kiashiria kizuri cha uwezo waujumbe wa Misri, ambayo utashiriki katika kikao cha Olimpiki Tokyo 2020 ili kuhakikisha matokeo ya heshima na isiyokuwa ya kawaida, Mwenyezi Mungu akipenda .

Ni muhimu kutajwa kuwa Waziri wa Vijana na Michezo anafuata pamoja na Kamati ya kiolimpiki kila siku maandalizi ya  Ujumbe wa kimisri ambayo kushiriki katika Olimpiki ya Tokyo 2020,Wote kwa njia ya utoaji wa msaada wa kipesa na usaidizi kwa shirikisho zote za kimichezo.

Kwa kuzingatia kuwa msaada wa kipesa unaotolewa na wizara hadi mwisho wa kundi la tatu la vyama vya wote kutumia katika maandalizi ya Tokyo 2020 zaidi ya paundi milioni 100 juu ya  malipo za tatu mfululizo , kutakamilishwa  msaada wa shirikisho hizi  na Kamati ya Olimpiki ya kimisri katika wakati ujao.

Katika muktadha huo ,   Wizara imetoa msaada kwa Kamati ya Olimpiki ya kimisri na shirikisho la michezo zitazoshiriki katika Mashindano ya Kiafrika, ambayo pia inafaa kufuzu kwa kikao cha Olimpiki huko Tokyo 2020, ambayo itafanyika Agosti nchini Moroko na malipo ya kwanza ya paundi milioni 10.

Comments