kuainisha mfumo wa kufuzu kwa timu za Afrika kwa Kombe la Dunia ya 2022

Shirikisho la Soka la kiafrika (KAF) Lilitangaza  Mfumo wa fainali za Kombe la Dunia 2022,zitazofanyika katika kipindi cha  Novemba 21 hadi Desemba 18.

Fainali zitazofanyika katika hatua tatu , Hatua ya kwanza inajumuisha "Raundi ya kimandalizi” kwa timu 28, baada ya msamaha wa  timu 26 za  juu , kulingana na Shirikisho la Soka la Kimataifa.

Timu za juu 14 katika uainishaji miongoni mwa timu 28 zitashiriki katika Raundi ya kimandalizi

  mechi mbili za kwenda na kurudi katika Raundi dhidi ya timu nyingine 14,linalopaswa kufanyika

 

mechi ya kwanza kwenye uwanja wa timu mwenye cheo cha chini katika uainishaji.

Timu 14 kutoka Raundi ya kimandalizi hujiunga na timu  26 katika hatua ya kundi, zimegawanywa katika kundi 10, kila kundi lina  timu 4.

kuraa ya Raundi ya kundi itazingatia mgawanyiko wa timu 40 kwenye viwango vinne, kulingana na uainishaji wa FIFA, na kila kundi litajumisha timu  moja kutoka  viwango vyote.

Timu10 za juu  zitagawanywa katika viwango viwili kulingana na uanishaji wa FIFA katika kila mwezi , Timu za juu tano zitacheza kulingana na uainishaji pamoja na moja ya timu za chini zaidi, na mechi ya kwanza itafanyika kwenye ardhi ya timu mwenye uainishaji wa cheo cha chini 

Comments