Sengali

Jamhuri ya Sengali (rasmi). Jina lake limechukuliwa na mto unaoipakana pande  zake  mbili za mashariki na kaskazini,na unaobatokana na Futaglun nchini Gini.

          Inazungukwa kwa  bahari ya Atlantik upande wa  nje  hadi upande wa magharibi.

 Inapakana na Morotania kwa upande wa kaskazini.Inapakana na Mali kwa upande wa mashariki.Inapakana na Gini na Bisau kwa upande wa kusini.Mji mkuu wake ni Dakar unaopatikana  upande wa  magharibi wa  Rasi ya Cape Vade.Lugha  zake rasmi ni lugha za kifaransa na kiarabu.Idadi ya wakazi  wake inakaribia watu milioni 13,70. 


Timu yake:


Timu hii imeanzishwa mwaka 1960.Inakuja  katika  nafasi ya 32 kimataifa.Ni  maarufu kwa jina la  masimba  wa EL-Tiranga.

Na  miongoni mwa  mafanikio  yake  iliyo muhimu  kufuzu  kwa  robo ya fainali  ya Kombe la Dunia  mwaka 2002.

pia imeshiriki  katika kombe la mataifa ya kiafrika kwa mara 14.



Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Sengali:

Golikiba

Abdoulaye Diallo

Alfred Gomis

Khadime Ndiaye

Beki

Kalidou Koulibaly

Kara Mbodji

Lamine Gassama

Moussa Wague

Saliou Cisse

Youssouf Sabaly

Kiungo

Alfred N'Diaye

Cheikh N Doye

Cheikhou Kouyate

Idrissa Gueye

Papa Alioune Ndiaye

Washambuliaji

Balde Diao Keita

Diafra Sakho

Ismaila Sarr

Mame Biram Diouf

Mbaye Niang

Moussa Konate

Moussa Sow

Sadio Mane

Comments