Waziri wa Michezo anafutaia maandalizi ya hivi karibuni ya sherehe ya kufunga ya michuano ya kiafrika

Waziri wa Vijana na Michezo Dokta. Ashraf Sobhy  alifanya mkutano na jenerali Ali Darwesh, Mkurugenzi Mtendaji wa Uwanja wa Kimataifa wa Kairo, kwa mahudhario ya wawakilishi wa shirika la vyombo vya habari vya wamisri na wawakilishi wa kampuni inayohusika na kuandaa sherehe ya kufunga ya Kombe la Mataifa ya kiafrika  2019.  kwa Kujadili mipango ya mwisho na maandalizi ya sherehe ya kufunga ya michuano ya kiafrika.

Hii inakuja kama ufuatiliaji kwa Waziri wa Vijana na Michezo kwa matukio yote ya mashindano Kuanzia sherehe ya kuraa, sherehe ya ufunguzi na mashindano yote na matukio ya mashindano kwenye viwanja vyote vilivyoshiriki mashindano katika makoa tofauti tangu mwanzo wa mashindano mpaka sherehe ya kufunga.

Sobhy alisisitiza wakati wa mkutano kwamba sherehe ya kufunga ya mashindano inapaswa kufanyika kwa kiwango sawa na sherehe ya ufunguzi na matukio ya shirika kwa njia inayofaa sifa ya Misri na uongozi wake wa bara na inathibitisha kwa waangalizi wote na watazamaji kutoka Ulimwengu wote kuwa Misri inaweza kukaribisha na kuandaa matukio makubwa zaidi ya kibara na ya kimataifa.

Comments