Vijana wa farao wa mpira wa kikapu ni juu ya kiti cha enzi ya Afrika na Waarabu

Timu ya kitaifa ya Misri ilishinda kwa taji ya Kombe la Mataifa ya kiafrika baada ya kushinda Mali 66/57 katika mechi ya mwisho wa mashindano iliyofanyika katika Cape Verde.

Timu ya kitaifa ya Misri Chini ya umri wa miaka 16, iliweza kuhakikisha alama kamili katika hatua ya kundi kwa kushinda  juu ya Nigeria kwa matokeo 86-77, kisha kushinda juu ya Angola kwa matokeo 86-61, nakushinda juu ya Cape Verde kwa matokeo 75-51.

Misri ilikufuzu kwa robo fainali ili kukabiliana na Rwanda na kushinda kwa matokeo 78-51. Katika nusu ya mwisho, Misri ilishinda juu ya Guinea 71-67.

Katika mechi ya mwisho wa michuano ya Afrika, Misri ilishinda ushindi mkubwa juu ya Mali kwa matokeo 66-57, ikawaweka nafsi yake katika Kombe la Dunia.

Michuano ya kiafrika ni ya pili kwa timu ya Misri kwa chini ya miaka 16 baada ya ilihakikisha michuano ya Kiarabu mwezi uliopita, nichi za Bahrain - Saudi Arabia - Algeria - Tunisia – Lebanoni, zilishiriki katika mashindano hiyo, ambayo iliyofanyika katika Jumba la Vijana na Michezo huko mji wa Oktoba 6.

Kiongozi wa farao Dokta Rafiq Youssef, mkurugunzi wa kifundi, ambaye aliahidi kushinda michuano hiyo mapema, akisisitiza kufanikiwa kwa nafasi tofauti katika michuano ya  Kombe la Dunia.

Comments