Waziri wa Michezo anampongeza rais wa Shirikisho la Karate katika mazungumzo ya simu
- 2019-07-17 10:43:30
mmeinua jina
la Misri juu , baada ya kushinda michuano ya karate ya kiafrika kwa medali 23
mingoni mwa dhahabu 11
Waziri wa
Vijana na Michezo, Dokta. Ashraf Sobhy, alipiga simu kwa Mheshimiwa Mohamed El
Dahrawy, Rais wa Shirikisho la Misri kwa Karate, baada ya timu ya kitaifa ya
kimisri kwa Karate iliongoza na kushinda kwa cheo cha kwanza katika orodha ya
medali ya michuano ya kiafrika kwa watu wakubwa na vijana iliofanyika katika
kipindi cha Julai 9-17 Julai huko Botswana.
Wakati wa
mawasiliano Sobhy alionyesha furaha yake kwa matokeo na mafanikio heshima timu ya Misri na zilizohakikishwa katika
michuano na kupata nafasi ya kwanza na jumla ya 23 medali kwa dhahabu11, fedha
6 na shaba 6 .
Waziri wa
michezo alisisitiza kuwa matokeo haya yanaheshimiwa na hayajawahi na
kuhakikisha uongozi wa Misri juu ya kiwango cha bara la Afrika
Comments