Misri inashinda kwa medali nne za shaba katika michuano ya kiafrika ya mpira wa vinyoya kwa vijana

Timu ya kitaifa ya vijana wa mpira wa vinyoya chini ya umri wa miaka 15 ilishinda medali nne za shaba wakati wa michuano ya kiafrika iliyofanyika mji mkuu wa Abidjan katika kipindi cha Juni 8-14.

Matokeo yalikuwa kama zifuatazo:

Zaina Mohammed alishinda medali ya shaba katika mashindano  ya kipekee, na pamoja na mwenzake katika timu

  Dania Yasser walishinda medali ya shaba kwa mashindano ya kimbili.

Wakati wawili wa Mahmoud Mohammed Hassan na Omar Rifat walishinda medali ya shaba katika mashindano ya kimbili ya wavulana.

Timu ya kitaifa imeshinda kwa medali ya shaba kwa mashindano ya timu katika mwanzo wa mashindano ya kibara.

rodha ya Timu yetu ya kitaifa inajumisha wachezaji 8: Mahmoud Mohamed Hassan - Mohamed Hegazi Sayed - Moaz Hesham Hassan - Omar Mohamed Refaat - Dania Yasser Nabil - Reem Hassan Hamdi - Zeinab Yahya - Bismalah Mohamed Abdel Aal.

 

Usimamizi wa kiufundi wa wachezaji unasimamiwa na Alaa Yousef, mkurugenzi wa kiufundi wa timu hiyo, huku akisimamia vipengele vya utawala Sharif Jafar mwanachama wa bodi.

Comments