Shirikisho
la soka la kiafrika (KAF) imetoa usimamizi wa mechi kati ya Tunisia na Nigeria
itayofanyika ili kuanisha timu mwenye
cheo cha tatu na cheo cha nne katika Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Refarii
mmisri Jihadi Greisha.
Timu ya
Tunisia imeshindwa kufikia mechi ya mwisho baada ya kushindwa kutoka Senegal
kwa goli moja.
Kwa upande
mwingine, Nigeria ilipata kushindwa kotoka Algeria kwa matokeo 2-1
Inatarajiwa
kuwa Mahmud Abu Al-Rajal, Msaidizi wa Kwanza, Issa Yaya kutoka chad , Msaidizi
wa Pili, na Joshua Bondo,kutoka
Botswana,Refarii wa nne.
Tunisia na
Nigeria zilishindwa kufuzu kwa mechi ya mwisho ya Kombe la Mataifa ya Afrika
iliyokaribishwa kwa Misri mpaka Julai 19.
timu hizo
mbili zitakutana katika Julai 17 kwa kuanisha timu mwenye cheo cha tatu na cheo
cha nne katika michuano ya Kombe la Mataifa ya kiafrika Katika mapambano
yanayozikusanya kwenye Uwanja wa AlSalam
saa moja jioni.
Comments