Waziri wa Michezo amefuatia maandalizi ya mwisho ya sherehe ya kufunga ya KAN 2019
- 2019-07-19 14:14:34
Dokta. Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, na
jenerali Ali Darweesh, Mwenyekiti wa Mamlaka ya Uwanja wa Kairo, walishuhudia
mipango ya mwisho na maandalizi ya sherehe ya kufunga ya michuano ya Soka la Afrika 2020 katika uwanja
wa Kimataifa wa Kairo.
Hii inakuja kama ufuatiliaji kwa Waziri wa Vijana na Michezo
kwa matukio yote na mashindano ya
michuano
Kuanzia na sherehe ya kura na sherehe ya ufunguzi na
mashindano yote na matukio kwenye viwanja vyote vinavyokaribisha mashindano
katika makoa mbalimbali tangu mwanzo wa
michuano mpaka sherehe ya kufunga.
Katika siku mbili za mwisho na hadi Ijumaa tarehe ya mwisho
na sherehe ya kufunga ya michuano, Waziri wa Vijana na Michezo hutafutia
maelezo yote na matukio yatakayofanyika mwishoni mwa mashindano ili kuhakikisha
kuwa sherehe ya kufunga ya mashindano itakuwa sawa na sherehe ya ufunguzi wa
mashindano na matukio ya shirika. Kutoka duniani kote kwamba Misri inaweza
kukaribisha na kuandaa matukio makubwa ya kimichezo ya kibara na kimataifa.
Ni muhimu kutajwa kuwa matukio ya michuano hiyo
yatahitimisha Ijumaa jioni, Julai 19 katika uwanja wa kimatifa wa Kairo.
Comments